Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,933
- 988
Mnyamahodzo nifafanulie tafadhali,ulivyoandika ni respect to yai kurutubishwa unamaanisha nini?
Ninamaamisha kwa kuzingatia toka yai kurutubishwa yaani with respect to the fertilization day.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyamahodzo nifafanulie tafadhali,ulivyoandika ni respect to yai kurutubishwa unamaanisha nini?

Ahsanteni wanjf kwa mawazo yenu,sasa nimethibitisha kitaalamu zaidi kwa kutumia U.P.T....Ni kweli kitu na boksi ingawaje sijaanza kutamani vitu vichachu bado.....Waliotangaza kuwa sina kizazi, mashavu yatawashuka.

Nimezaa watoto wawili wa kike na nnimepanga kuzaa wa tatu. ingekuwa vema nizae dume. nifanyeje?
huna nia ya kunielewesha na kama uelewa wako nisawa na wa kwangu ni bora ungekaa kimya tuu..................................!Toka anaanza. Uwe unarudia kusoma kwa taratibu,utaelewa tu
Unaleta masihara sasa,kama hauna lakujibu si usepe kimyakimya?

Ni pm. I will help you my dear!
Ni ngumu kidogo nlakini rahisi pia. Inahusisha mwanamke kujua mzunguko wa siku zake.
Kwa kawaida, mayai ya (mwanamke) mtoto wa kike na kiume yana sifa zinazotofautiana. Yale ya mtoto wa kike huwa yana kasi sana katika kusafiri kwenye mji za uzazi kuliko ya kiume. lakini, ya kike hufa mapema kuliko ya kiume.
Hivyo, siku yanapopevuka na kutoka kwenye ovary, mayai ya kike, kwa kuwa yanasafiri haraka, huwa mbele ya yale ya kiume. kama kuna mbegu za kiume yenyewe ndio yanakuwa ya kwanza kukutana nazo. Hivyo, kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya mayai kupevuka, kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kike.
baada ya siku tatu tangu mayai ya kike yaachiwe kwenye ovary yanakufa. lakini yale ya kiume huweza kudumu mpaka siku tano. Hivyo, kama ukifanya tendio la ndoa siku, mathalani ya nne baada ya mayai kutoka kwenye ovaries, kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kiume kwa sababu mpaka wakati huo almost mayai yote ya kike yatakuwa yamekufa.
lakini inatakiwa mwanamke ajue kwa undani mzunguko wa siku zake ili kufanya timing nzuri. uinabidi ajue mayai yanaachiwa lini kwenye ovaries ili aweze kufanya hesabu hizi na zilete matojkeo yanayotarajiwa
Nimezaa watoto wawili wa kike na nnimepanga kuzaa wa tatu. ingekuwa vema nizae dume. nifanyeje?