Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Mnyamahodzo nifafanulie tafadhali,ulivyoandika ni respect to yai kurutubishwa unamaanisha nini?

Ninamaamisha kwa kuzingatia toka yai kurutubishwa yaani with respect to the fertilization day.

Ahsante sana m'hodzo kwa msaada wako, sasa nimeelewa.

Ahsanteni wanjf kwa mawazo yenu,sasa nimethibitisha kitaalamu zaidi kwa kutumia U.P.T....Ni kweli kitu na boksi ingawaje sijaanza kutamani vitu vichachu bado.....Waliotangaza kuwa sina kizazi, mashavu yatawashuka.

My beloved Pepim, hongera kwa kupata ujauzito.

Sifahamu ni muda gani, lakini penye blue panajieleza kuwa ulipata psychological torture.

Ila unielewe katika jambo lifuatalo:-
Ni kweli wamekuteta, kukusimanga, kukung'ong'a au kukucheka na ikakuumiza sana. Lakini, haikupi uhalali wa kuyasema hayo penye blue. Mshukuru Mungu kwa kukifuta kigezo cha masimango au mateto yao. Kwasasa umeshika mimba tu ambayo ni nukta ya safari ndefu ya kuwa na mtoto atakayekuwa na watoto na wajukuu zake ambao ni mwendelezo wa uzao wako; nawe ukasema nina wajukuu na vitukuu.

Kupata mimba au kuwa na mtoto si kwamba mimi ni bora kuliko wengine au nina HAKI sana kuliko wengine. Umewahi fikiri na watu wangapi waliobora au wenyehaki hawajafikia hatua ya kuwa wajawazito au kuwa na watoto?

Kiufupi, mshukuru sana Mungu, mwombee sana kwa Mungu huyo mtoto wako tangu akiwa tumboni mwako.

Congratulation a mother to be!! Your a hero carrying a very great responsibility.

Hey mi ni kidume jamani, niliyekuwa mjumbe wa kuwasilisha mawazo ya rafiki yangu mmoja(me) na mpenzi wake..Wao co wanajf na hawana rununu za wavuti,hivyo waliniomba niwawakilishe katika hilo..Niliamua kuuvaa uhusika ili kuzidisha utamu wa swali.

Hesabu siku za mezi za mwanamke, yawezekana zinabadilika, hesabi kwa miezi mitatu, jumlisha siku zote za miezi mitatu. Mfano siku ya kwanza kuwa mwezini mpaka siku ya kwanza inayofuata ni 20+29+30=79/3=26. Basi unachukua 26-14=12. Kama ni siku 28 ambazo ni standard, basi unatoa kumi na nne 28-14=14. Hii siku ndio siku ya pick. Unatoa 3 na kujumlisha 3. nini maana yake unaanza kurekebisha siku tatu kabla ile siku yenyewe na siku tatu baada ili kuwa na uhakika wa kutunga mimba. Mimba hupatikana kwa urahisi hasa pale ambapo wote hamna matatizo. Ushauri rahisi.
1. Kula chakula bora chenye protein kwa wingi
2. Pumzika kufanya ngono kwa muda usiopungua wiki ili kuweza kukusanya mbegu za kutosha kutunga mimba. Mimba hutungwa na shahawa yenye Mbegu zisizopungua milioni 500, hivyo ni vema kuhakikisha unakula chakula bora na kupiumzika kabla ya siku za game na kufanya mazoezi ya kutosha kusaidia mzunguko mzuri wa damu na kuuandaa ubongo kwa ajili ya wakati huu.
3. Pima afya yako ili kujua huna magonjwa yeyote ikiwemo maleria au infection na yeye mwananmke pia.

Kipindi hiki ndicho unachoweza kufurahia ngono ya mwanamke kuliko kipindi kingine.

Nimezaa watoto wawili wa kike na nnimepanga kuzaa wa tatu. ingekuwa vema nizae dume. nifanyeje?

Kiimani-fanya sana maombi kwa Mungu wako, toto la kiume utalipata.
Kisayansi-Nilishawahi kusikia njia flani hivi, lakini sina uhakika nayo na sikwenda deep sana kwny pepaz, so nashindwa kuandika hii kitu hapa. Ngoja tumsubiri Dk Riwa na wengineo, hope u gonna get smthng frm here. Stay tuned.

Ni ngumu kidogo nlakini rahisi pia. Inahusisha mwanamke kujua mzunguko wa siku zake.
Kwa kawaida, mayai ya (mwanamke) mtoto wa kike na kiume yana sifa zinazotofautiana. Yale ya mtoto wa kike huwa yana kasi sana katika kusafiri kwenye mji za uzazi kuliko ya kiume. lakini, ya kike hufa mapema kuliko ya kiume.
Hivyo, siku yanapopevuka na kutoka kwenye ovary, mayai ya kike, kwa kuwa yanasafiri haraka, huwa mbele ya yale ya kiume. kama kuna mbegu za kiume yenyewe ndio yanakuwa ya kwanza kukutana nazo. Hivyo, kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya mayai kupevuka, kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kike.
baada ya siku tatu tangu mayai ya kike yaachiwe kwenye ovary yanakufa. lakini yale ya kiume huweza kudumu mpaka siku tano. Hivyo, kama ukifanya tendio la ndoa siku, mathalani ya nne baada ya mayai kutoka kwenye ovaries, kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kiume kwa sababu mpaka wakati huo almost mayai yote ya kike yatakuwa yamekufa.
lakini inatakiwa mwanamke ajue kwa undani mzunguko wa siku zake ili kufanya timing nzuri. uinabidi ajue mayai yanaachiwa lini kwenye ovaries ili aweze kufanya hesabu hizi na zilete matojkeo yanayotarajiwa

Napata shida sana kujua hili pamoja na kwamba nilisoma bilogy lakini kipengele hiki bado ni problem kwangu,wako wanaoniambia ni siku ya kumi na nne toka anaanza hedhi(bleeding) lakini wapo wanaoniambia siku ya 14 toka amalize hedhi yake,ukweli ni upi?nisaidiwe please................................!

Profesa, mbona umechanganya sana mavitu yaani sumu na njema humo humo? Haswa kwenye mbili na tatu...mmmh! Naogopa, usipojipanga vizuri utaitwa porofesa.Nitakuja halafu.Kwasasa napita tu.

Njia nyingine ya asili kabisa ni kwa kupitisha vidole vyako viwili vya mkono wako kwenye uke wa mkeo ndani then unabönyeza pembezoni wa kuta za uke ukihisi kuna uvimbe fulani ujue hizo ni tezi za ujauzito hata wa week moja waweza tumia njia hiyo.

Ni ngumu kidogo nlakini rahisi pia. Inahusisha mwanamke kujua mzunguko wa siku zake.
Kwa kawaida, mayai ya (mwanamke) mtoto wa kike na kiume yana sifa zinazotofautiana. Yale ya mtoto wa kike huwa yana kasi sana katika kusafiri kwenye mji za uzazi kuliko ya kiume. lakini, ya kike hufa mapema kuliko ya kiume.
Hivyo, siku yanapopevuka na kutoka kwenye ovary, mayai ya kike, kwa kuwa yanasafiri haraka, huwa mbele ya yale ya kiume. kama kuna mbegu za kiume yenyewe ndio yanakuwa ya kwanza kukutana nazo. Hivyo, kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya mayai kupevuka, kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kike.
baada ya siku tatu tangu mayai ya kike yaachiwe kwenye ovary yanakufa. lakini yale ya kiume huweza kudumu mpaka siku tano. Hivyo, kama ukifanya tendio la ndoa siku, mathalani ya nne baada ya mayai kutoka kwenye ovaries, kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtoto wa kiume kwa sababu mpaka wakati huo almost mayai yote ya kike yatakuwa yamekufa.
lakini inatakiwa mwanamke ajue kwa undani mzunguko wa siku zake ili kufanya timing nzuri. uinabidi ajue mayai yanaachiwa lini kwenye ovaries ili aweze kufanya hesabu hizi na zilete matojkeo yanayotarajiwa

Mpita njia nadhani umechanganya tabia za hayo mayai....ya kiume imekuwa kike, na kike imekuwa kiume!

Jaribu kufanya timing ya ovulation..google gender selection by dr shettles utapata majibu..mimi sijajua wapi zinapatikana ovulation kits

Nimezaa watoto wawili wa kike na nnimepanga kuzaa wa tatu. ingekuwa vema nizae dume. nifanyeje?

Nyadunga...hii njia inakuwezesha kuongeza kwa kiasi kikubwa 'uwezekano' wa kupata mtoto wa kiume, lakini sio lazima kupata mtoto wa kiume ukifuata njia hii. Njia ya uhakika zaidi (kama una hela) ni kurutubisha yai nje ya tendo la ndoa (In-Vitro Fertilization).

Njia hii kama alivyokuambia mpita Njia...inafuata 'timing' ya mzunguko wa mwezi wa mwanamke, hivyo shati uelewe mzunguko wa mkeo ( ni mrefu zaidi ya siku 28, au siku 28, au mfupi chini ya siku 28) kwani hii hubadlisha timing ya tarehe/siku za kufanya tendo.

Kwa kawaida, genetically binadamu ana chromosomes X na Y (usijali sana hiki ni nini), akiwa na XX basi huyo ni mwanamke..na akiwa na XY basi huyo ni mwanamume. Wakati wa kutunga mimba, mtoto anapata nusu ya chromosome toka kwa yai la mama (X) na nusu toka kwa mbegu ya baba (X au Y). Kwa hiyo yai la kike mara zote ni X na mbegu ya kiume ni aidha X au Y.

Manii (kumradhi..shahawa) inapomwagwa ina mbegu za kiume zaidi ya milioni kwa goli moja, mbegu hizi ni mchanganyiko wa X na Y. Ila sasa, mbegu X na Y zina tabia tofauti..
- X zinaishi muda mrefu (hadi siku 3), lakini ziko slow...hivyo zikimwagwa huchukua muda mrefu kulifikia yai na kulirutubisha
- Y zinaishi muda mfupi (siku 1 na nusu), lakini ziko fast...hivyo zikimwagwa huwai kulifikia yai na kulirutubisha kama limeiva vya kutosha.

Sasa hapo ni kucheza na timing tu mkeo anatoa yai lini kutokana na urefu wa mzunguko wake wa mwezi. Yai likitolewa linakuwa halijakomaa na ukuta wake mgumu kwa mbegu kupenya, inachukua siku 1 na nusu hadi 2 kwa yai kumature na ukuta kuwa laini kupenywa na mbegu. Hivyo ukishanote siku ambayo mkeo anatoa yai (yai hutolewa kati kati ya mzunguko...usually siku ya 14 au 15 ya mzunguko) ongeza siku 2 then mfanye tendo, hapo assumption ni kuwa yai litakuwa limeiva na ukuta laini, na ukimwaga mbegu basi zile Y ambazo ni za kiume zitawahi na kurutubisha yai kabla ya X ambazo ni za kike. Hapo unazaa mtoto wa kiume.

Kwa hiyo basi, kuna uwezekano mkubwa sana wa kuzaa mtoto wa kiume kama utafanya tendo na mkeo siku ya 16 na/au 17 ya mzunguko tangu mkeo aanze bleeding!

Fanya hivi.
Anza kuhesabu siku ya kwanza mkeo anaanza hedhi. Ukikutana nae siku ya 5, 6, 7, 8, 9 na 10 toka siku anaanza hedhi hakuna uwezekano wa kupata mimba yai bado kabisa kupevuka na kusafiri. Ukikutana nae siku ya 11, 12, 13 na ya 14 hakuna shaka fertilization inatokea na mtoto ni wa kike. Mtoto wa kiume anapatikana kama utakutana na mkeo kuanzi siku ya 15, 16 na ya 17 mimba itatungwa ya mtoto wa kiume. Na siku zilizobaki hazina utungusho maana yai linakuwa tayari limekufa na siku ya 28 linatoka kama uchafu ambayo ndo hedhi yenyewe. Zingatia kuhesabu 1 pale siku anaanza na watu wengi wamefanikiwa ni sayansi wala sio miujiza. Hata wale mnaowashauri wapenzi wenu kutumia vidonge vya majira, si salama hata kidogo wapenzi wenu watakuwa na matumbo makubwa i.e vitambi bure. Tumieni kalenda zao si za hatari ni ya 11 hadi ya 17 basi. Huna haja ya kutumia madawa wala sindano za majira wala kondomu. Ni kuzingatia tu siku za mwenzi wako. Nasisitiza kuwa anza kuhesabu siku anaanza hedhi. Nawasilisha.

Back
Top Bottom