Tukio siku ya kura ni kupiga kura tu
Katiba hailazimishi mtu kwenda kupiga kura hutaki usiende lakini inakataza kuzuia mtu mwingine asiende kupiga kura
Wewe kama hutaki kupiga kura baki kwenu
Hiyohiyo katiba haijaeleza na kukataza kuandamana siku ya kutupia vikaratasi kwenye vibubu.Tukio siku ya kura ni kupiga kura tu
Katiba hailazimishi mtu kwenda kupiga kura hutaki usiende lakini inakataza kuzuia mtu mwingine asiende kupiga kura
Wewe kama hutaki kupiga kura baki kwenu
Hakuna haha ya hayo yoteTukio siku ya kura ni kupiga kura tu
Katiba hailazimishi mtu kwenda kupiga kura hutaki usiende lakini inakataza kuzuia mtu mwingine asiende kupiga kura
Wewe kama hutaki kupiga kura baki kwenu
Hii itakuwa ni siku nzuri sana. Tena watangaze uwepo wa maandamano ya amani. Kwa vyovyote vile Policcm watalazimika kujazana barabarani na pia kuzuia watu kukusanyika.Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga k
Siku ya uchaguzi, CCM huwaga serious sana na huwa tayari kwa loloteNawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Wiki Moja au siku kadhaa kabla ya uchaguzi, wanajeshi hupitishwa mitaani wamejaa kwenye IVECO zaoNawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Kisutu mmeshindwa kwenda, ndo muandamane Tanzania nzima? Mitandaoni sawa mtaandamana.Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Good thinkingNawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
We ni sawa na mtu aliyeko kuzimu hujui yanayoendelea dunianiNawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Acha achekelee bwana Zittu maana anafahamu yupo kwenye igizoAitosaidia mkuu Chadema imejitoa kwenye uchaguzi wenyewe
Soon utasikia wanachama kibao wa chadema wakikiacha chama hicho na kwenda kugombea nafasi mbali mbali
Chadema itabaki kikundi cha harakati tu na ubaya wa harakati uwezi endesha harakati huna fedha
Mnajidanganya maana now Ruzuku zipo ila ngoja ikome mtaona vituko .
Utafiti wa haraka 70% ya wanasiasa wa Chadema wanataka uchaguzi ila Viongozi wapya wamekataa
Zitto naona akichekelea tu na marafiki zake wengi wakimfwata ACT
Dah... Umetoa password mapema sana😀Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa kwenda kupiga kura.
Tukio siku ya kura ni kupiga kura tu
Katiba hailazimishi mtu kwenda kupiga kura hutaki usiende lakini inakataza kuzuia mtu mwingine asiende kupiga kura
Wewe kama hutaki kupiga kura baki kwenu
Siku ya uchaguzi mkuu ni siku ya tukio moja tu..watu hata kazini hawaendi ni kupiga kura tu .Hayo maandamano labda 8kaandamane porini juko kusiko na binadamu kunakoishi ngedere tu sio barabaraniMkuu hawatazuia mtu kwenda kupiga kura. Ila wataandamana kwa amani.
Hapo ndo Polisi watajikuta wanazuia waapiga kura wao, kwa kupiga mabomu hovyo