Tarehe ya kupiga kura CHADEMA watangaze iwe siku ya maandano nchi nzima

Maandamano yanaweza kuwa siku kadhaa kabla ya uchaguz
ambayo yanaweza kudumu hadi siku ya uchaguzi
 
Tukio siku ya kura ni kupiga kura tu

Katiba hailazimishi mtu kwenda kupiga kura hutaki usiende lakini inakataza kuzuia mtu mwingine asiende kupiga kura

Wewe kama hutaki kupiga kura baki kwenu
Katika jambo ccm wanaogopa ni wananchi wasiende kupiga kura mana watokosa uhalalali wa kuongoza nchi ndio mana nguvu kubwa sana inawekezwa kupinga ajenda ya no reform no election
 
Sasa hapo ndio itakuwa vurugu. Hakuna marekebisho, kila mtu akae kwake au aendelee na shughuli zake. Maandamano ya nini?!
 
Wabongo bhana 😂
Sasa hamtaki uchaguzi mana hakuna reforms, kwahy mkizuia wngn kupiga kura ndo hizo reforms zitapatikana au?
 
Mbinu ina risk mno maana ikifeli ndo basi tena, Na ili ifeli serikali inaweza isiingize polisi tu mtaani bali jeshi la wananchi na likasema njoo upige kura tutakulinda.
 
Maandamano yanaweza kuwa siku kadhaa kabla ya uchaguz
ambayo yanaweza kudumu hadi siku ya uchaguzi
Kampeni za vyama vya siasa vilivyokubali kushiriki uchaguzi ndivyo pekee vinaruhusiwa kufanya siasa hadi uchaguzi mkuu .Ratiba nchi nzima hutolewa na kukabidhiwa vyama shiriki

Wewe ambaye huna mpango wa kupiga kura utasubiri uchaguzi upite ndio uendelee na ujinga wako
 
Ukibaki nyumbani kura utapigaje?
 
Watajuaje wapiga kura na waandamanaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…