Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Kipi kinaweza kutokea mfano mwanaume wa namba 2 hadi 9 akimuoa au akiwa na mahusiano na mwanamke wa namba 1 au 11 na kinyume chake..
 
Asante umeniongezea uelewa katika haya maan nilikua nasoma vitabu bila kuelewa zaidi. Mi naomba unitumie vitabu tuu vyovyote vile vyenye kuuelezea ulimwengu na maisha ya kila kilivhomo.
Sawa nitakutumia
 
Namba 5 wote kujeni hapa tujadiliane mambo yetu....Ila hapo sifa chanya hasa hii ya mvuto wa mapenzi kama kuna kaukwer flan hv hahahaha
 
siku izi mnajikuta mnaendana na techologia mara hospitali hii mara ile mgunga huyu mara yule ,zaman mkunga ni watu special sio wa ilimradi na walijulikana watakuwa kakunga pindi walipo zaliwa ' mkunga lazim awe mtu wenye higher vibration travel at higher spiritual frequences mtoto anapozaliwa apo apo kisomo kinaanza kwasababu wanakuja na features tofauti tofauti zenye kujitambulisha yeye ni nan na jina lake ni lipi nakadharik

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba minofu kidogo katika hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…