PreGE2025 Tarimba: Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amesema amejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae atamtingisha.

Nataka niwaambie katika historia ya karibuni hakuna utekelezaji ulifana zaidi kuliko utekelezaji wa mwaka 2020- 2025, na tumpongeze sana rais Samia kwa sababu ni kiongozi ambaye nilikuwa nikisimama bungeni kuleta hoja ya kinondoni na hakuna rais alikataa hoja yangu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio maana nikapata udhubutu wakusema "Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha"
Ponjoro mpumbavu kabisa huyu
 
Kama dar ndo kitovu cha nchi. Ndiyo kwa wajanja na ndiyo palipo na vyuo vingi na viwanda vingi na watu wengi na wasomi wengi lakini wanachagua kiongozi kama huyu!!! Je sisi tulio huku mapolini tutakuwa tumepeleka watu wa aina gani bungeni sasa
Una uhakika alichaguliwa na wasomi/wananchi wa Dar?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Makamba alipata kusema kwa sasa wanalamba, huyu kwa sasa amekwisha chonga mzinga, acha aseme anavyojisikia
 
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amesema amejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae atamtingisha.

Nataka niwaambie katika historia ya karibuni hakuna utekelezaji ulifana zaidi kuliko utekelezaji wa mwaka 2020- 2025, na tumpongeze sana rais Samia kwa sababu ni kiongozi ambaye nilikuwa nikisimama bungeni kuleta hoja ya kinondoni na hakuna rais alikataa hoja yangu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio maana nikapata udhubutu wakusema "Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha"
Ponjoro kama ponjoro.
 
HUYU PONJOLO MRUDISHE KWAO HAPA NI PA WEUSI SIYO MCHANGANYIKO KAMA YEYE
 
Sasa huyu ponjoro naye anakoroma? Anaweza kufanya nini hasa? We ponjoro wa Kino boy jitulize, kinondoni Wala popote Dar hitoboi ubunge
Kiroja ( sio hoja ile) kile cha Plate Number maalum kwa wabunge ilipita nayo?
 
Kama dar ndo kitovu cha nchi. Ndiyo kwa wajanja na ndiyo palipo na vyuo vingi na viwanda vingi na watu wengi na wasomi wengi lakini wanachagua kiongozi kama huyu!!! Je sisi tulio huku mapolini tutakuwa tumepeleka watu wa aina gani bungeni sasa
 
Tuache utani dar,wazawa ni mazwazwa asilimia 80...wanaojitambua wachache,ilaa kila laheri mchuma janga ulia na wakwao....30000,unaiza utu wako!
 
Unalinda maslai Yako tu hauna jipya
1.Miradi kadhaa imekwama Mfano ujenzi wa Sgra DODOMA to mwanza imekwama
2.Deni la Taifa linasomeka 107 trillion bdo unaendelea kumtetea mtu kama huyo
3. Ajira hakuna vijana wanaishia kubeti upo una support makampuni Yako ya kubeti angekuwa kiongozi shupavu angefungia kampuni zako zote za betting
4. Utekajika na kuuwawa Kwa watu tu
5. Waonsema ukweli anawachukia sana Mfano Luaga mpina na Gwajima
6. Yeye ndo mahakama, yeye ndo Kila kitu
7. Anafungia nyumba za ibada Mfano kanisa la ufufuo na uzima...huyo mtu gani.. mfungie the owner of the church but the institution...taasisi Haina makosa.
8. Chadema Ina makosa kama yote Kila pande..
 
Mitano tena......sipigi kura,na sita pigaaa yoyote ntampokea
 
Back
Top Bottom