CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Ponjoro mpumbavu kabisa huyuMbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amesema amejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae atamtingisha.
Nataka niwaambie katika historia ya karibuni hakuna utekelezaji ulifana zaidi kuliko utekelezaji wa mwaka 2020- 2025, na tumpongeze sana rais Samia kwa sababu ni kiongozi ambaye nilikuwa nikisimama bungeni kuleta hoja ya kinondoni na hakuna rais alikataa hoja yangu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio maana nikapata udhubutu wakusema "Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha"
Una uhakika alichaguliwa na wasomi/wananchi wa Dar?Kama dar ndo kitovu cha nchi. Ndiyo kwa wajanja na ndiyo palipo na vyuo vingi na viwanda vingi na watu wengi na wasomi wengi lakini wanachagua kiongozi kama huyu!!! Je sisi tulio huku mapolini tutakuwa tumepeleka watu wa aina gani bungeni sasa
Si nimbunge wa kinondoni. Au mi nasoma vibayaUna uhakika alichaguliwa na wasomi/wananchi wa Dar?
Upo sahihi...ni wa Kinondoni. Comment yangu ililenga kwenye mfumo wa uchaguzi na uchama...Si nimbunge wa kinondoni. Au mi nasoma vibaya
Hawa ndo waliopita bila kupingwa kweli!Upo sahihi...ni wa Kinondoni. Comment yangu ililenga kwenye mfumo wa uchaguzi na uchama...
Ponjoro kama ponjoro.Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amesema amejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae atamtingisha.
Nataka niwaambie katika historia ya karibuni hakuna utekelezaji ulifana zaidi kuliko utekelezaji wa mwaka 2020- 2025, na tumpongeze sana rais Samia kwa sababu ni kiongozi ambaye nilikuwa nikisimama bungeni kuleta hoja ya kinondoni na hakuna rais alikataa hoja yangu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio maana nikapata udhubutu wakusema "Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha"
Chama kinampitisha mgombea halafu...mamlaka nyingine inahakikisha anashinda u haguzi/ anatangazwa mshindi!!Hawa ndo waliopita bila kupingwa kweli!
Wapi GwajiboyPonjoro bwana.. Dawa yake ni Gwajima
Hana cha kupoteza huyo vyote alivyovitaka amevipataPonjoro Wa Kinondoni
Anajikuta Sana
HUYU PONJOLO MRUDISHE KWAO HAPA NI PA WEUSI SIYO MCHANGANYIKO KAMA YEYEMbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amesema amejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae atamtingisha.
Nataka niwaambie katika historia ya karibuni hakuna utekelezaji ulifana zaidi kuliko utekelezaji wa mwaka 2020- 2025, na tumpongeze sana rais Samia kwa sababu ni kiongozi ambaye nilikuwa nikisimama bungeni kuleta hoja ya kinondoni na hakuna rais alikataa hoja yangu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio maana nikapata udhubutu wakusema "Nimejitoa mhanga kwa atakaye mtingisha rais Samia nae ntamtingisha"
Kiroja ( sio hoja ile) kile cha Plate Number maalum kwa wabunge ilipita nayo?
Kama dar ndo kitovu cha nchi. Ndiyo kwa wajanja na ndiyo palipo na vyuo vingi na viwanda vingi na watu wengi na wasomi wengi lakini wanachagua kiongozi kama huyu!!! Je sisi tulio huku mapolini tutakuwa tumepeleka watu wa aina gani bungeni sasa