Walioandamana ndo waliopoteza watu? Ndo walioficha maiti? Ndo waliokwenda Kimondoni hosp kukwapua maiti? Kama ulichosema ndo mnachotafuta andikeni mnachoandika kamateni mnaotaka.View attachment 3694421
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja
Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na mawakili wabobevu kutoka ndani na nje ya nchi kwa sasa inapokea ushahidi kutoka kwa Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni katika Ofisi za Jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Posta Dar es Salaam.
huyu ana hasira na wandamanaji maana walichomfanya hasau kamwe, ilipelekea mpk amamchoma mwana ccm mwenzieHuyu ndiyo maana anaitwa Ponjoro
View attachment 3694421
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja
Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na mawakili wabobevu kutoka ndani na nje ya nchi kwa sasa inapokea ushahidi kutoka kwa Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni katika Ofisi za Jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Posta Dar es Salaam.
View attachment 3694421
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja
Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na mawakili wabobevu kutoka ndani na nje ya nchi kwa sasa inapokea ushahidi kutoka kwa Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni katika Ofisi za Jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Posta Dar es Salaam.
Katika maisha yangu afande Mafwele ni mtu wa maana saana. Kumsaidia mtu sio lazima umpe laki 2. Hata shillings mia 2 ni msaada pia. Ni lazima tuwe watu wenye shukrani..Waanzie kwanza kwa akina Wambura, Muliro, Mafwele na watuonyeshe
majority ya watu wanaoenda kutoa ushahidi wameandaliwa na serikali haramu.Napata wasiwasi ya kwamba hili Suala la kutoa ushahidi kwenye kamati linashadadiwa na CCM. Napata wasiwasi kweli.
Huyu maku anajifanya mjanja wakati anawaibia wabongo kwenye kamari uchwara.View attachment 3694421