PreGE2025 Tarimba: Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua.

Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema kuwa wananchi wamekielewa chama hicho kuwa msingi wa maendeleo ya haraka, hivyo mtu yeyote atakayeonyesha dalili za kukipasua chama hicho atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.

Kuna mda unaweza kusema wanaishi ikulu kama siku ikitokea la kutafutana ndio wataimba mitano tena wakifanyiwa ubaya ubwera na nzengo zao.
 
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua.

Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema kuwa wananchi wamekielewa chama hicho kuwa msingi wa maendeleo ya haraka, hivyo mtu yeyote atakayeonyesha dalili za kukipasua chama hicho atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.

Mbona anaongea kama kakurupushwa??
Hapangilii hata maneno
 
Mnatakiwa muwe wazalendo kwa nchi ,mkisha kuwa wazalendo kwa chama matokeo yake nchi itajaribika vibaya sana na hamtojali
 
Dah Gwajima ndio basi tena.

Anyway labda Gwaji boy alikuwa anajua anafanya nn ndio maana amesubiria the timing .
Kuongea siku chache kabla ya mkutano mkuu
 
"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.
HEHEEEE!
Huyu naye yupo "tayari" tayari "kupasua" wengine!
Naona huko ndani ya chama kuna joto la ajabu sana.

Mchengerwa yeye yupo "tayari kufa" kwa kupigania "AMANI" ambayo hailindwi na "HAKI"!

Hawa watu wa GENGE ndani ya CCM wametangaza vita!
 
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua.

Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema kuwa wananchi wamekielewa chama hicho kuwa msingi wa maendeleo ya haraka, hivyo mtu yeyote atakayeonyesha dalili za kukipasua chama hicho atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.

Huu ndo ujinga ,wa wanachama wa ccm na wabunge wao, yani humpasue mtu kisa chama ,ambacho kesho kinaweza kufa na kuzaliwa chama kingine ila sio Taifa ambalo baba zao, bibi zao mama zao ,wajomba zao n.k wamekufa na kuliacha Taifa wakiwa na vyeo au bila vyeo.

Leo ccm ipo na dhamani kuliko Taifa ? Wanajiona wanakisaidia chama kumbe wanaharibu pakubwa
 
Back
Top Bottom