Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbona anaongea kama kakurupushwa??Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua.
Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema kuwa wananchi wamekielewa chama hicho kuwa msingi wa maendeleo ya haraka, hivyo mtu yeyote atakayeonyesha dalili za kukipasua chama hicho atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.
Mnatakiwa muwe wazalendo kwa nchi ,mkisha kuwa wazalendo kwa chama matokeo yake nchi itajaribika vibaya sana na hamtojaliMbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua.
Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema kuwa wananchi wamekielewa chama hicho kuwa msingi wa maendeleo ya haraka, hivyo mtu yeyote atakayeonyesha dalili za kukipasua chama hicho atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.
HEHEEEE!"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.
Huu ndo ujinga ,wa wanachama wa ccm na wabunge wao, yani humpasue mtu kisa chama ,ambacho kesho kinaweza kufa na kuzaliwa chama kingine ila sio Taifa ambalo baba zao, bibi zao mama zao ,wajomba zao n.k wamekufa na kuliacha Taifa wakiwa na vyeo au bila vyeo.Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua.
Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema kuwa wananchi wamekielewa chama hicho kuwa msingi wa maendeleo ya haraka, hivyo mtu yeyote atakayeonyesha dalili za kukipasua chama hicho atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.
They deserve that, but they should live to see that Tanzania could be a better country in the hands of patriots and not pests."wale ambao ni conservatives wanaotaka mambo yabaki hivi hivi Kwa kuendelea kulinda wakubwa wanakaushwa kimya kimya,na baada ya muda hawatokuwepo!!
Hujuagi kuongea point huyo!Mbona anaongea kama kakurupushwa??
Hapangilii hata maneno