Endelea kuongea tunajua unalinda SPORTS PESA uendelee kumaliza vijana kwa kamaeiMbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua.
Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema kuwa wananchi wamekielewa chama hicho kuwa msingi wa maendeleo ya haraka, hivyo mtu yeyote atakayeonyesha dalili za kukipasua chama hicho atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.
Huu upumbavu tumewahi uongelea miaka hiyo ya mihadhara pale UDSM - Mlimani.Huu ndo ujinga ,wa wanachama wa ccm na wabunge wao, yani humpasue mtu kisa chama ,ambacho kesho kinaweza kufa na kuzaliwa chama kingine ila sio Taifa ambalo baba zao, bibi zao mama zao ,wajomba zao n.k wamekufa na kuliacha Taifa wakiwa na vyeo au bila vyeo.
Leo ccm ipo na dhamani kuliko Taifa ? Wanajiona wanakisaidia chama kumbe wanaharibu pakubwa
Mkuu ni shida sanaHuu upumbavu tumewahi uongelea miaka hiyo ya mihadhara pale UDSM - Mlimani.
Chama kinachojitengeneza kuwa "supremacy" badala ya nchi, ni chama ambacho hakipo kwa ajili ya nchi.
Huu ndio "unyani" aliouongelea Mch. C. Mtikila.
Hana uwezo huyu....anajukombaUwezo wake unatia mashaka
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua.
Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema kuwa wananchi wamekielewa chama hicho kuwa msingi wa maendeleo ya haraka, hivyo mtu yeyote atakayeonyesha dalili za kukipasua chama hicho atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.
That's some genocide inciting shit.Mbunge wa Jimbo la Kinondoni na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Abbas Tarimba, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni taasisi imara isiyoweza kuyumbishwa na mtu yeyote mwenye nia ovu ya kukipasua.
Akizungumza katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma, Tarimba alisema kuwa wananchi wamekielewa chama hicho kuwa msingi wa maendeleo ya haraka, hivyo mtu yeyote atakayeonyesha dalili za kukipasua chama hicho atakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Chama hiki kipo ndani ya mioyo yetu. Yeyote yule akionesha ishara za kutaka kuipasua CCM, tutampasua yeye kwanza. Tuko tayari kwa lolote lile," amesema kwa msisitizo.
Bungeni kumejaa wahuni/ zero brain/ chawa etc.Hana uwezo huyu....anajukomba
Anajuwa kinondoni hawamtaki
Sahv ni mwendo wa kujipendekeza tu
Ova
๐๐๐๐Aibu Sana CCM
Yaani Hawataki Watu Wasema Ukweli Ama Ubaya Wao
CCM Imepasuka Zamani Sana
Teja wa uzalendo wa taifa lake!Hivi sio teja kweli huyu?
Teja wa uzalendo wa taifa lake!
Tejaaa๐Hivi sio teja kweli huyu?