Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Hivi kesi hii imeishia wapi?
Watu wa Tarime tunaomba mtupe mrejesho juu ya suala hili ili tujue.
 
Tukio lilitokea jumamosi jioni na jumapili asubuhi kabla JPM hajaenda misa ya kwanza pale St Peters alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani Ndugu Mwigulu Nchemba.
 
Peter Zacharia anastahili nishani ya juu kabisa kwa majibu aliyoyatoa kwa WATU WASIOJULIKANA waliootumwa na Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…