Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Tarime, Mara: Mmiliki wa mabasi ya Zacharia awapiga risasi maafisa wa Usalama wa Taifa, ashikiliwa na Polisi

Watu mliobutuliwa na Magufuli mkaachwa bila urithi mna hasira sana.
 
Ila kila nikukumbuka kuwa mke wa huyo katili na watoto wake wanakula pension na marupurupu kibao ya kodi zetu maisha yao yote najisikia hasira.
Familia ya watu wa aina hiyo ilipaswa kukiona cha moto katika maisha ikibidi hata kucharazwa bakora kwa makosa ya mume/baba yao ili iwe fundisho kwa wengine wawapo madarakani kutambua kuwa wakitenda ujinga basi wakiondoka kwa kufa basi moto wanawaachia watoto na mke

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Sema tu uovu wa baba haumpati mtoto, ila ilitakiwa waombe radhi kwa niaba ya baba yao kwa matendo yake.
 
Yaani bongo fulu ujinga. Yaani jitu zima linatetea majizi yaliyoiba mali za umma. Halafu wakati huo huo hilo hilo pumbavu Tanzania linalalamika eti huduma mbovu za jamii na kuwalalamikia viongozi wa serikali wezi eti hawafai kuwa viongozi wakati huo huo linatete majizi yaliyoiba zamani yaani hakika bongo kwa kizazi hiki ukiwa kiongozi iba na yakilalamika yaue tu haya mapumbavu matanzania maana hayana akili za kujua umuhimu wa kiongozi muadilifu

Jamaa hatetei wizi wa Zakaria, Bali anafurahia alivyo washughulikia wale watu wasiojulikana.
 
Hasira ya Nini?. Zakaria alifanya kitendo Cha kishujaa. Kuwatia ulemavu wa kudumu wale majambazi.
Waache waelelee kuendekeza ushamba itaonekana hao hawabadiliki wamegongwa mhuri wa moyo kwenye vipaji vya nyuso zao.
 
Jamaa hatetei wizi wa Zakaria, Bali anafurahia alivyo washughulikia wale watu wasiojulikana.
econonist watu kama akina Zakaria ingekuwa China wangekufa kwa kunyongwa. Nadhani ngoja tusubiri, hiki
kizazi ambacho tunawaibia sasa na kuwadanganya ndicho kitakuja kuchukua hatamu za uongozi, nakuhakikishia kuna baadhi ya viongozi watashitakiwa wakiwa marehemu na watoto wao watalazimika kujibu na kulipa mabaya waliotenda wazazi wao. Mimi na wewe we are corrupt tukubali kabisa, ila kizazi kitakuja kinachojua uadilifu tu.
 
Back
Top Bottom