Magufuli alikuwa katiri Sana.
Alimiliki kikundi cha uhalifu ndani ya Ikulu (rogue unit). Genge liliitwa watu wasiojulikana, hili gege lilifanikiwa
-Kumpiga risasi Tundu Lissu
-Kumteka na kumuua Ben Saanane
-kumteka Mo Dewiji
-kumteka Roka Mkatoriki
-kumteka na kumtesa Mdude Nyangali
-Kumteka na kumuua Lwajabe
-Kumteka na kumuua Kanguye
-Kumteka na kumuua Azory Gwanda
-Kumteka Zakaria
-Kumteka Abdul Nondo
-Kumteka Tito Magoti
Hiki kikundi hata Kama kilikuwa kinapata Oda kutoka juu, Ni dhahiri kiliongozwa na watu makatiri Sana, watu wenye roho mbaya, maana matendo waliofanyiwa Watanzania wenzetu, yalikuwa ya kutisha Sana. Napendekeza TUWATAFUTE wakabiliane na MKONO WA SHERIA