Pre GE2025 Tarime: Mbunge Mwita Waitara atimuliwa na Wananchi, ashushwa Jukwaani kwa Fimbo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari.

Bado haijajulikana sababu hasa za Wananchi hao kumfurumusha mbunge wao huyo (Tunaendelea kufuatilia).

Bali tunalishukuru Jeshi la Polisi kumuokoa na kumkimbiza Mh. Mbunge ili kuepuka kipigo.

Tunaendelea kusisitiza kwamba Wananchi waache hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi, hii nchi inaendeshwa kwa utaratibu, kama kuna jambo lolote waende kwenye vyombo vya dola.

Video zinazohusiana na tukio hili;


Your browser is not able to display this video.

===

Kujua Chanzo soma:

- Tarime: Chanzo cha Mbunge Waitara kufurushwa Sirari
 
Chezea hao wakurya!?
Hawatakagi masihara hao jamaa huyo mbunge ameleta UCHALAMILA wakampa za chembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…