Pre GE2025 Tarime: Mbunge Mwita Waitara atimuliwa na Wananchi, ashushwa Jukwaani kwa Fimbo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari.

Bado haijajulikana sababu hasa za Wananchi hao kumfurumusha mbunge wao huyo (Tunaendelea kufuatilia).

Bali tunalishukuru Jeshi la Polisi kumuokoa na kumkimbiza Mh Mbunge ili kuepuka kipigo

Tunaendelea kusisitiza kwamba Wananchi waache hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi, hii nchi inaendeshwa kwa utaratibu, kama kuna jambo lolote waende kwenye vyombo vya dola.

Kujua Chanzo SOMA
- TARIME: CHANZO CHA WAITARA KUFURUSHWA SIRARI

Ila polisi wenyewe kunichukulia sheria mkononi ruksa? Mbona wanaua watu hovyo mgodini bila kuwapeleka mahakamani?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari.

Bado haijajulikana sababu hasa za Wananchi hao kumfurumusha mbunge wao huyo (Tunaendelea kufuatilia).

Bali tunalishukuru Jeshi la Polisi kumuokoa na kumkimbiza Mh Mbunge ili kuepuka kipigo

Tunaendelea kusisitiza kwamba Wananchi waache hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi, hii nchi inaendeshwa kwa utaratibu, kama kuna jambo lolote waende kwenye vyombo vya dola.

Kujua Chanzo SOMA
- TARIME: CHANZO CHA WAITARA KUFURUSHWA SIRARI

Mbona kama vibaka
 
Back
Top Bottom