Pre GE2025 Tarime: Mbunge Mwita Waitara atimuliwa na Wananchi, ashushwa Jukwaani kwa Fimbo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Safi sana .wananchi wakiwa na moto huo itapelekea viongozi kutenda haki na siyo kuwa chawa kama Hawa wapuuzi wa chama Cha majambazi(ccm)
 
Wamenshusha kwa mawe au silaha, au wametumia haki yao kuchuja pumba na mchele?!
 
Nadhani mkuu umeandika kisiasa zaidi, nikimaanisha unauma huku ukipulizia pole pole.

Unasema unalaani raia kujichukulia sheria mkononi, huku kimoyo moyo ukisema si wangemuua kabisa huyu msaliti!

Hali hiyo nami huwa inanitokea, kuamuria mtu mhalifu asiendelee kubondwa, huku kimoyo moyo nikijilaumu kumkingia kifua!
 
Nalaani matukio ya kujichukulia sheria mkononi
 
Hakukuwa na mkutano wa hadhara bali msiba, kuna gari ilipata ajali inatoka kwenye mashindano ya mpira aliyoyaanzisha Waitara kijana mmoja akafariki sasa leo ndo walikuwa wanatoa mwili mochwari na mazishi ni kesho.
Waliokuwa wanazomea ni vijana wa chadema na Team Maswi wakimtuhumu Waitara kwamba yeye ndo amemtoa kafara.
 
Endelea kufunguka
 
Kumbe
 
Haya ndio yawe mapokezi yao kote nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…