Pre GE2025 Tarime: Mbunge Mwita Waitara atimuliwa na Wananchi, ashushwa Jukwaani kwa Fimbo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vita ni vita mura
 
Tunafanya juhudi kuweka video, unaambiwa jamaa anakimbia swala anasubiri!
Ndio maana nimeona jion hii hapa stand ya nyamhongolo mwanza kuna mtu kashuka kwenye zakaria kabla hata haijasimama vizur na kukimbia kuelekea huko juu kagua mbio mbio! Duu labda ni waitara asee brek ya kwanza imekuwa ni mwanza!
 
Watanzania wa Tarime wao tu ndiyo wako hai, lkn wa maeneo mengine ni maiti.
 
Inanikumbusha msiba wa chacha wangwe chadema walivyofurushwa!
 
Wananchi waache hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi, hii nchi inaendeshwa kwa utaratibu, kama kuna jambo lolote waende kwenye vyombo vya dola
Sijui kama nime kusoma na kukuelewa vizuri kuhusu haya maneno uliyotumia hapa!

Acha wananchi wajielimishe wenyewe, ikiwa ni pamoja na kupata uzoefu wa vitendo. Yote haya yatahitajika wakati utakapo wadia.
 
Ndio maana nimeona jion hii hapa stand ya nyamhongolo mwanza kuna mtu kashuka kwenye zakaria kabla hata haijasimama vizur na kukimbia kuelekea huko juu kagua mbio mbio! Duu labda ni waitara asee brek ya kwanza imekuwa ni mwanza!
😆😆😆
 
Tungekuwa na makabila 70 kama wakurya hii nchi tungekuwa mbali Sana kiuchumi
Tokea mfumo wa vyama vingi vianze kata yetu haijaawahi kuongozwa na chama cha CCM, kule watu wapo radhi wauliwe wote ila mgombea wa CCM asitangazwe msindi kwasababu hawezi kushida.
Polisi walishindwa kipindi cha Magufuli, wananchi napambana na askari nje huku wagombea na mawakala wanatwangana ngumi ndani.
Mwisho wa siku mshindi alali alitangazwa saa tisa usiku baada ya polisi kuona wanakatibia kupoteza pambano.
 
Sijui kama nime kusoma na kukuelewa vizuri kuhusu haya maneno uliyotumia hapa!

Acha wananchi wajielimishe wenyewe, ikiwa ni pamoja na kupata uzoefu wa vitendo. Yote haya yatahitajika wakati utakapo wadia.
😆😆😆😆
 
Tunaendelea kusisitiza kwamba Wananchi waache hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi, hii nchi inaendeshwa kwa utaratibu, kama kuna jambo lolote waende kwenye vyombo vya dola.
Hili angalizo nina hakika liliambata na hii expression
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…