Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari.
Bado haijajulikana sababu hasa za Wananchi hao kumfurumusha mbunge wao huyo (Tunaendelea kufuatilia).
Bali tunalishukuru Jeshi la Polisi kumuokoa na kumkimbiza Mh Mbunge ili kuepuka kipigo
Tunaendelea kusisitiza kwamba Wananchi waache hii tabia ya kujichukulia sheria mkononi, hii nchi inaendeshwa kwa utaratibu, kama kuna jambo lolote waende kwenye vyombo vya dola.
Kujua Chanzo SOMA
-
TARIME: CHANZO CHA WAITARA KUFURUSHWA SIRARI