Tarime Mjini nako moto unaendelea

Tarime Mjini nako moto unaendelea

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Subpost 1 - MKUTANO WA NDANI LEO JIMBO LA TARIME MJINI ( 640 X 640 ).jpg

Subpost 2 - MKUTANO WA NDANI LEO JIMBO LA TARIME MJINI ( 640 X 640 ).jpg

Chadema sasa inashambulia kama kansa ya damu inavyoshambulia wahanga
 
Kukurukeni tu lakini zama za chama kimoja ndio hizi. Mwenzenu mmoja ameanza mapema kampeni kwa kuwasalimia wananchi kila anapopita
 
Ndio mnaanza kukurupuka sasa?
Umesahau kuwa mnawapiga na kuwakamata wakikutana?
Maazimio ya mkutano mkuu ni kuwa kama mbwai na iwe mbwai mikutano hii 2020 itafanyika.
Mzee wenu kasikia sasa anagwaya hadi halali usiku anavizia wapi kuna tamasha apige simu.
Tusubiri kusikia Polepole akitumwa kwenda kwa machangu Kona bar ili wapigiwe simu, "hamjambo! Nawapenda sana, chapeni kazi msisumbuliwe, nitahakikisha mnapatiwa vifaa vya kazi bure! CCM oyee!"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itafsirini hii kwenye lugha wanayoielewa wananchi, vinginevyo, haina 'impact' yoyote.

"HAKUNA CHUKI HAKUNA WOGA", au kitu kama hicho.

Watu wataelewa maana yake, hasa kutokana na hali ya vitisho iliyopo na inayoendelea.

Chapisha 'stickers' na zisambaze nchi nzima.

ANZIA HAPO.
Kalamu 1 namtuma Makene akuletee kadi ya Chadema unaonekana una madini fulani yanayoweza kusaidia
 
Umesahau kuwa mnawapiga na kuwakamata wakikutana?
Maazimio ya mkutano mkuu ni kuwa kama mbwai na iwe mbwai mikutano hii 2020 itafanyika.
Mzee wenu kasikia sasa anagwaya hadi halali usiku anavizia wapi kuna tamasha apige simu.
Tusubiri kusikia Polepole akitumwa kwenda kwa machangu Kona bar ili wapigiwe simu, "hamjambo! Nawapenda sana, chapeni kazi msisumbuliwe, nitahakikisha mnapatiwa vifaa vya kazi bure! CCM oyee!"

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom