Tarime Mjini nako moto unaendelea

Kukurukeni tu lakini zama za chama kimoja ndio hizi. Mwenzenu mmoja ameanza mapema kampeni kwa kuwasalimia wananchi kila anapopita
 
Ndio mnaanza kukurupuka sasa?
Umesahau kuwa mnawapiga na kuwakamata wakikutana?
Maazimio ya mkutano mkuu ni kuwa kama mbwai na iwe mbwai mikutano hii 2020 itafanyika.
Mzee wenu kasikia sasa anagwaya hadi halali usiku anavizia wapi kuna tamasha apige simu.
Tusubiri kusikia Polepole akitumwa kwenda kwa machangu Kona bar ili wapigiwe simu, "hamjambo! Nawapenda sana, chapeni kazi msisumbuliwe, nitahakikisha mnapatiwa vifaa vya kazi bure! CCM oyee!"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalamu 1 namtuma Makene akuletee kadi ya Chadema unaonekana una madini fulani yanayoweza kusaidia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…