Inasikitisha sana,waalimu nao wameanza kuwa mafisadiMahakama ya Wilaya ya Tarime imemuhukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa mwalimu mkuu shule ya msingi Mwege iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara,Issaya Gwidana kwa makosa 6 ikiwemo la kughushi hundi za shule na kuchukua Sh. milioni 4.965 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa https://t.co/J55ZyPF4xVView attachment 2232187
Hivi Kwa uelewa wako shule ya msingi ya kata, inapelekewa bilioni ngapi?Huyu anaibaje tupesa kidogo hivyo?pesa ht huwezi kumhonga Hakimu wala kumlipa wakili?
Ajifunze kwa wenzie serikalini, wanakwiba mabilioni then wanaigawa kwa watu watakao mlinda kikisanuka.
Dpp hapa alionesha nia ya kuendelea na hiyo kesi.... Liwe funzo kwa wanaoiba centi za chapati!! Ukitaka kuiba Iba billions au trillions.. hapa unaweza ukasema Mzee nitakuachia za vieeeit !!Duuh pesa kiduchu miaka sita, kwanini wasimkate kwenye mshahara wake tuu. Aliyeiba mabilioni anakula kiyoyozi kwenye prado.