Tarime: Wananchi wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kudaiwa kuuawa

Tarime: Wananchi wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kudaiwa kuuawa

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Nyomi la watanzania wameonekana leo Tarime wakiwa wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kuuawa.

Aidha kumekuwepo na mwendelezo wa mauaji na utekaji nchini Tanzania wa kiholela ambao una mfungamano na kuungwa mkono na Serikali ya Samia.

 
Wanauwa wakristo
Babu Trump ashaweka wazi agenda yao
 
ni Nadra sana wahuni wengi kuwa katika video ya pamoja kama hiyo
 
Nyomi la watanzania wameonekana leo tarime wakiwa wameandamana na jeneza wakiimba samia muuwaji baada ya mwenzao kuuwawa.

Aidha kumekuwepo na mwendelezo wa mauwaji na utekaji nchini tanzania wa kiholela ambao unamfungamano na kuungwa mkono na serikali ya samia.
Hayo maandamano Yana kibali cha Muliro ??
 
Back
Top Bottom