Tarime: Wananchi wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kudaiwa kuuawa

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Nyomi la watanzania wameonekana leo Tarime wakiwa wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kuuawa.

Aidha kumekuwepo na mwendelezo wa mauaji na utekaji nchini Tanzania wa kiholela ambao una mfungamano na kuungwa mkono na Serikali ya Samia.

Your browser is not able to display this video.
 
Wanauwa wakristo
Babu Trump ashaweka wazi agenda yao
 
ni Nadra sana wahuni wengi kuwa katika video ya pamoja kama hiyo
 
Daah mimi nisingeweza kuongoza kwa namna hii hata kama ningekua nalipwa kiasi gani hapana maana hakuna maombi yeyote yatapokelewa huko watu wakiwa wananung'unika hivi ni ngumu sana..
 
Hayo maandamano Yana kibali cha Muliro ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…