Tarime: Wasimulia kuwashwa, kuharisha, kutapika, kuhara damu, mifugo kufa kisa maji ya Mto Mara

Taarifa ya tume imeondoka na 90% ya kura za Samia mkoa wa Mara.

Popote pale hata msibani ukilitaja jina la mama unazua tahaluki.
 
Na hili pia litakua tatizo milele kwa sababu watu waliopo madiwani wenyeviti wote waliingizwa kwa wizi kwahio they are not responsible kabisa na serikali at all.
 
Watulie tuliiii sindano iingie vizuri kwa kuwa hiyo ndiyo gharama ya kulipa unaporuhusu vibaka wa CCM kushika dola.
 
Hao ndio wanasiasa bwana
Sidhani kama kuna binadamu mwenye dhambi kama mwanasiasa.
 
Mkojo na kinyesi cha ng'ombe kwa mujibu wa Le Profeseri wawe wavumilivu watapona
Halafu hii nchi tuanze kuwapiga mawe viongozi ili wawe na adabu, sii kiongozi anawatukana watz namna hii halafu anakuja na V8 hapo mnamsikiliza tu, huku ni kuwafanya watu wazima kama watoto taifa lote hili kama hatujaenda shule!

Sasa kama ni case ya kinyesi na mikojo ya mifugo kwann ianzie mto mara na ianze mwaka huu? Ingekuwa ni common experience maeneo mengine pia hata mataifa mengine na hata miaka iliyopita.

Hata wataalam wa vyuo vya agriculture wangetupa uzoefu wao katika jambo hilo.

Ikiwa samaki wanakula kinyesi cha kuku ambacho kiko very concerrated hakina maji , waje wadhurike na ammonia ndogo hiyo ya mifugo ambayo ni diluted already.

What stupid leaders hii mijamaa?!
 
Tuwapige mawe mara nyingine, watajifunza adabu,
 
Kuna mahali sijakuelewa uliposema kuna umbali kwenda zahanati na vituo vya Afya.. umbali wa kilomita 4. Ulikosea au uko sawa? Kilomita 4 mbona ni karibu sana.
 
Dhahabu ni Bora kuliko watu.

Hawa viongozi WA nchi kutoka pwani hawajawahi kueleweka!

Ingefaa ukanda wote wa ziwa na kaskazini vijitenge tutengeneze nchi mpya.
 
Hapa natakiwa ajiuzulu Mhe. Waziri -Makamu wa Rais Muungano kwa kuwajibika.
 
Hata wamang'ati ni wachafu mno, wanakunywa tu maji yanayochafuliwa na mifugo, yaani wanaundugu kabisa na ngombe wao wanavyoshare nao,
Hiyo mitaahira inaleta dharau za kifreemason,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…