Tarime: Wasimulia kuwashwa, kuharisha, kutapika, kuhara damu, mifugo kufa kisa maji ya Mto Mara

kemikali za Mgodi wa madini zinahusika hapa.
 
Lissu alipokuwa LEAT alipigania sana hii kitu...
 
Mkojo na kinyesi cha ng'ombe kwa mujibu wa Le Profeseri wawe wavumilivu watapona
Mkuu kwa mara ya kwanza naona watanzania tunafanya masihara uhai, hii sio ugomvi wa ccm na chadema. Hii ni maisha na kifo.
Lakiji watu wanaleta utani, na kukebehi. Na wakati maji tunatumia wote hadi anaekebehi. Inasikitisha

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hao ndio wanasiasa bwana
Sidhani kama kuna binadamu mwenye dhambi kama mwanasiasa.
Mkuu kwa mara ya kwanza naona watanzania tunafanya masihara uhai, hii sio ugomvi wa ccm na chadema. Hii ni maisha na kifo.
Lakiji watu wanaleta utani, na kukebehi. Na wakati maji tunatumia wote hadi anaekebehi. Inasikitisha

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…