Tariq kumwagiwa acid usoni, nishakutana na huo msala. Ni Mungu tu

Jamaa yangu shukuru Mungu si ajabu huyo dogo nae anasali, ila ulikua unaliwa hiyo siku.

How comes umuamini kirahisi mtu mmeonana kwa mara ya kwanza??
 
Hayo maneno hapo , yame sound kike sana .
 
Jamaa yangu shukuru Mungu si ajabu huyo dogo nae anasali, ila ulikua unaliwa hiyo siku.

How comes umuamini kirahisi mtu mmeonana kwa mara ya kwanza??
Kaka huyo DOGO, sikuwa na mashaka NAE sana mana nilimuonea kama dogo TU alafu mipango aliyo kuwa aananmbia jinsi tungeweza jitanua KIBIASHARA ilinifanya nione dogo anajielewa sana hivo sikuwa na shida pia ILIKUA karibu na asubuhi hivo sikuwa na wasiwasi wowote.

Sema TU najiuliza angekua na kikosi Cha mauaji au kuliwa nyuma kwa lazima sijui inge kuwaje
 
Wewe usijifanye unapindisha story.. Mkenya alikukula wewe
 
Hayo maneno niliyo ya bold ndo yaliyo sound kike, haujaelewa nini hapo?
Hivi wewe hapa tunaongelea inshu Gani? Mbona unakua mgumu kuelewa, kaka najitahid kuonyesha uhalisia wa jambo ili watu waelewe stori hii ya kweli tuwaepushe wadogo zetu na mitihan, we umekomaa tu
 
Naomba nizungumze jambo MOJA, mtu akileta stori hapa Nia ni watu wajifunze kutokana na makosa ambayo sisi tuliya Fanya hata kama hayakutu adhibu wakuu, msitengeneze mazingira watu waanze kuwanyima changamoto tunazo kutana nazo kwenye hekaheka zetu ili wadogo zetu wajue watapitaje. Kwani nisinge leta hiki kisa changu mngejua chochote wakuu? acheni hizo watu wanaanza kulazimisha ujinga Gani sijui nawe si ulete kisa chako watu wajifunze.

Nashukuru kwa watu ambayo wamedai NITOE taarifa kwenye mamlaka kuhusu hiyo shule, Hilo siwezi nimetoa code kazi kwenu mana mi nipo mbali kwa sasa, ila hao wanao pindisha maneno wanakera sana itakuwa ngumu kuleta mambo zaidi humu.
 
Najaribu kuwaza,..kama hilo tukio ni miaka kadhaa imepita,je ametuhalibia watoto wetu wangapi hapo shuleni pake kwa kuwapandikiza hiyo tabia chafu akilin mwao!? Ni busara ukatoa maeneo ilipo
 
Nimekuelewa kabisa ila swala la kuacha watoto waharibike nimekushangaa sana
 
Najaribu kuwaza,..kama hilo tukio ni miaka kadhaa imepita,je ametuhalibia watoto wetu wangapi hapo shuleni pake kwa kuwapandikiza hiyo tabia chafu akilin mwao!? Ni busara ukatoa maeneo ilipo
Kwa mrefu mbele kidogo, huyo DOGO nasikia ni Masai wa Kenya, japo Huwa havai kimasai ukiwauliza wakazi wanaweza kuku elekeza upande wa kushoto ukitokea Arusha mjini kuelekea moshi, unaingia ndani kidogo TU, kwa mrefu
 
Nimekuelewa kabisa ila swala la kuacha watoto waharibike nimekushangaa sana
Kaka nisikilize, mambo si mepeso hivo kaka angu, polisi Sina Imani nao mpaka niwapeleke kwanza hata wao watanishangaa, pili nimetoa code mtu yeyote anaweza Fanya hiyo kazi kuchunguza kwanza then hatua za Sheria zifuatwe mkuu
 
Daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…