Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,789
- 39,513
👏🏻🔨Mtu maskini ni mtu hatari sana hata kwa usalama wa Taifa, unakutana na mtu usiku saa nane tena mtu wa nchi nyingine hapo hapo unaanza kumtangazia shida zako na ufukara wako, tena mwanaume mwenzio unaanza kummendea akupe hela ya mtaji wa biashara?
Arusha kumejaa wanaume wa hovyo sana, ndio maana hata Dada Zenu hawataki kuolewa na nyie ni machokoraa