Tariq kumwagiwa acid usoni, nishakutana na huo msala. Ni Mungu tu

Tariq kumwagiwa acid usoni, nishakutana na huo msala. Ni Mungu tu

Sema nin kaka umeeleza ulichopitia ili watu wajifunze. Sion sabb ya watu kukushambulia na kutoa maon yasiyo na maana. Lakin unapaswa kujua mtu huyo anaendelea kupoteza watu wengi kwasabb ya ww kushindwa kuwa msaada katika jamii. Unaelew ninachokisema
Kaka mbona Kila kitu kimejadiliwa humu, mpaka hatua za kufuata ili Sheria ichukue mkondo wake NAMI nimetoa Hadi maelezo mshikaji anapoishi ni dogo TU hata Mimi mwenyewe naweza mkamata nikampeleka polisi, no mdogo sana alafu ni mgeni kipindi hicho hakuwa na mob ya watu sana mana MARAFIKI zake wengi niliowashuhudia kwa kipindi kifupi ni wazungu
 
Kuna mzungu hapo chuga, Huwa anatembea ana ombaomba, Huwa anavaa pensi na yeboyebo, ana machacha miguuni kachoka haswa ni mjerumani, huyo ni swahiba wake na dogo haswa, nilisha mkuta hapo shuleni mara nyingi wanajuana nahisi Wana project hiyo ya ushoga japo Sina hakika sana kama mzungu anahusika au ni tabia TU ya kile kitoto
 
Kuna watu wana hisi dogo alini fila nieleweke, huyo ni dogo sio mtu mzima ni mtoto, pili ALIKUA anani ogopa ye kichwani mwaake alihisi labda uwenda NAMI ni mtu wa makundi maana nilikua najiamini sana, Arusha Huwa natembea Hadi saa nane usiku peke yangu kutoka high way night club napitia humu ndani kuelekea round about ya kijenge kwenda njiro napinda barabara naelekea town natokea azimio naenda geto peke yangu nilikua nikimsimulia dogo akawa anaogopa huo ujasiri wangu nautoa wapi lakini ndo hivo mi nilikua nachukulia part of hustle. Since day one dogo anani ogopa sana mpaka kesho ndo mana nilipo mkatalia kufanya mapenzi ya jinsia moja hakunilazimisha sana alitulia tukikutana ni stori TU, tunaachana
 
Bro kwa kipindi hicho umri wangu ulikua hauja komaa, alafu pili huyo jamaa jinsi tulivo tumia muda mchache NAYE, ILIKUA ngumu sana kumdhania vibaya maana ye ndo ALIKUA wa kwanza kunionyesha project zake, NAMI nikamwambia malengo yangu hivo niliamini nimempata wa kufanana NAE katika hustling.
Jibu la kiume kabisa hili...
 
Nilivo sikiliza inshu yao hao jamaa nikajisemea yes, nimeokota dodo chini ya mnazi, huyu mkenya ana hela lazima anitoe mtaji wa BIASHARA mana nilikua nmeajiriwa hotelini
Wewe ushapitiwa kwa maelezo haya..!!
Hivi mtu umekutana naye mara ya kwanza unaomba mtaji uko sawa kweli?? Tena mwanaume mwenzio!!? Khaaaaa!! 😥
 
Tukacheza pale badae, yule mkenya akaniita rafiki, tunaweza ondoka mana yapata saa kumi na moja asubuhi, nikasema shega
Wewe maharage ya Mbeya huogopi kwenda kulala kwa mwanaume mwenzio na mmekutana kwa mara ya kwanza club?
Manioko hata wanawake hatuko hivi 😹

Haya wanaume njooni mumtetee wa kiumeni mwenzenu, NACHOKA LAMOMY BINTI CLEMENCY MWANDAMBO DUH!! 😥
 
wait unajua kwenye hii story nikajua wewe ni demu, mwanaume unakubalije kununuliwa kinywaji fine hiyo inawezekana lakin twende kwangu??? damn alafu unazipangiaje hela za mwanaume mwenzio kwamba atanipa mtaji meeeen whats fucking wrong with u are u gay??
Same here, mwanzo nilidhani ni demu, then I realize ni boy. Inasikitisha sana.
 
Siku MOJA nimetoka job pale hotelini nipo mitaa ya picnic lounge kwa njee nimesimama na piga hesabu ya kwenda kulala night Kali sana, nikamuona yule dogo na kijana mwingine wanafata nyuma, kuelekea pale wanapo uza kuku nje ya xo night club, nika kaa kuwa chora ,nikagundua yule dogo kajaa kwa mkenya mana ALIKUA anachagua kuku alafu hela anatoa mkenya Nikajisemea TU huyu dogo tayari kesha ingia kwenye mfumo wa huyo mkenya, basi bhana nika sepa zangu.
Ukaanza kumfatilia unamuonea wivu? 😢
Kwanini umfatilie?

Wewe kama kweli sio mfuasi wa hiyo michezo ungemchukulia hatua maana tayari ulishaona ana shule ya watoto ambao wako hatarini kuingizwa kwenye mkumbo wa tabia za kishoga.

Na kingine anazidi kuharibu jamii kwa ushawishi wake wa fedha..!!
 
Dogo unapenda sana slope kmmae zako unaweka mknd wako rehani.
 
Watoto wa kiume siku hizi wamelegea legea kama wasng vile na wanapenda sana slope kama hili.

Jinga kabisa
 
Kuna ka shule fulani kapo huku
Na kenyewe nasikia sponsored
Mmiliki wake nimesikia anawachezesha kwata za upinde watoto wadogo
 
Wewe ushapitiwa kwa maelezo haya..!!
Hivi mtu umekutana naye mara ya kwanza unaomba mtaji uko sawa kweli?? Tena mwanaume mwenzio!!? Khaaaaa!! 😥
Sista acha hizo Imani, tulianzia mbali sana alafu kipindi hicho sikia mwanaume nilikua kijana jua kutofautisha, ni yeye ndo alianza kunambia project zake za BIASHARA nilipo mwambia zangu akashangazwa na akili ya biashara nilio kuwa nayo na akashangaa kwa nini nakwama ili Hali mawazo yangu ni amazing
 
Wewe maharage ya Mbeya huogopi kwenda kulala kwa mwanaume mwenzio na mmekutana kwa mara ya kwanza club?
Manioko hata wanawake hatuko hivi 😹

Haya wanaume njooni mumtetee wa kiumeni mwenzenu, NACHOKA LAMOMY BINTI CLEMENCY MWANDAMBO DUH!! 😥
Hivi wapi huja elewa palikua pameshaanza kukucha asubuhi inaingia hofu inatoka wapi? Soma basi vizuri usikurupuke sista, shida umesha Jenga wazo negative kichwani, haipendezi soma elewa ongea usi ongee huja elewa NILICHO andika
 
Same here, mwanzo nilidhani ni demu, then I realize ni boy. Inasikitisha sana.
Asante kaka endelea kusikitika, Cha ajabu nini hapo kukaaa counter, kucheza pamoja kwani kucheza na washikaji mpaka akubambie,? Wakuu kununuliwa kinywaji ndo mnashangaa mbona ni kawaida hata Mimi mwenyewe mpaka Sasa nawanunulia vinywaji wadau kipi Cha ajabu? Anyway siwazui kuamini mnacho amini watu kama nyinyi si wageni kukutana nao karibuni
 
Ukaanza kumfatilia unamuonea wivu? 😢
Kwanini umfatilie?

Wewe kama kweli sio mfuasi wa hiyo michezo ungemchukulia hatua maana tayari ulishaona ana shule ya watoto ambao wako hatarini kuingizwa kwenye mkumbo wa tabia za kishoga.

Na kingine anazidi kuharibu jamii kwa ushawishi wake wa fedha..!!
Soma ielewa wapi nime mfatilia? Mitaa nayo zungumzia unaijua? Ni barabarani unaona kinacho endelea eti namuonea wivu we sista mbona umekomaa sana we ni msaganaji? Mnalazimisha vitu visivo na maana nmekwambia nilikua kwenye mishe zangu Hilo eneo ni la wazi na ni haki Kila mtu kuona kinacho endelea ni barabarani unaeza simama hata mita sabini na ukaona kinacho endelea, nimuonee wivu kwa lipi? Ahadi ambazo huyo DOGO aliniahidi na zilikua zinaonekana kwa macho nisinge kua kijana kakamavu nilikua naingia kwenye mtego mfano NINGE OMBA TU kufundisha hapo nikawa napata chochote asinge kataa achilia kukata kufanya NAE ule ujjinga asinge kataa lakini nilipiga chini.

Sista soma uelewe kwanza usikurupuke, tumetoka club ilikuwa saa kumi na moja asubuhi watu washa Anza tembea barabarani panaenda kupambazuka hofu unatoka wapi, ni wapi nimesema alinambia twende nikalale kwake? Ye alinambia nikapaone Ina mana Kuna miradi alitaka nikaione MOJA wapo ni shule, yeye mwenyewe ana ishi hapohapo shuleni kwake, ndani ya fensi ndo mana nilikubali kwenda mana ni asubuhi
 
Wewe ushapitiwa kwa maelezo haya..!!
Hivi mtu umekutana naye mara ya kwanza unaomba mtaji uko sawa kweli?? Tena mwanaume mwenzio!!? Khaaaaa!! 😥
We mbona unaenda benki kukopa? Inshu ya kukutana NAE is kuumize kichwa sana dada yangu mpaka kufikishsna HUKO, tulianzia mbali sana tuliongea mengi na siwezi andika Kila tulicho ongea maxungumzo yangu na yeye nimeruka ili stori isiwe ndefu lakin mpaka kufikia kuamini jamaa atanipa mtaji inamana ye ALIKUA kesha nijuza mengi NAMI nilikua Nisha mjuza mengi
 
Back
Top Bottom