👏🏻🔨Mtu maskini ni mtu hatari sana hata kwa usalama wa Taifa, unakutana na mtu usiku saa nane tena mtu wa nchi nyingine hapo hapo unaanza kumtangazia shida zako na ufukara wako, tena mwanaume mwenzio unaanza kummendea akupe hela ya mtaji wa biashara?
Arusha kumejaa wanaume wa hovyo sana, ndio maana hata Dada Zenu hawataki kuolewa na nyie ni machokoraa
Katika hili alivhemka sana. Umaskini wako uwe kama password yako.Mtu maskini ni mtu hatari sana hata kwa usalama wa Taifa, unakutana na mtu usiku saa nane tena mtu wa nchi nyingine hapo hapo unaanza kumtangazia shida zako na ufukara wako, tena mwanaume mwenzio unaanza kummendea akupe hela ya mtaji wa biashara?
Arusha kumejaa wanaume wa hovyo sana, ndio maana hata Dada Zenu hawataki kuolewa na nyie ni machokoraa
Masikini hana msimamo, lolote linalomnufaisha atalibebw hata kama linahatarisha usalama wakeMtu maskini ni mtu hatari sana hata kwa usalama wa Taifa, unakutana na mtu usiku saa nane tena mtu wa nchi nyingine hapo hapo unaanza kumtangazia shida zako na ufukara wako, tena mwanaume mwenzio unaanza kummendea akupe hela ya mtaji wa biashara?
Arusha kumejaa wanaume wa hovyo sana, ndio maana hata Dada Zenu hawataki kuolewa na nyie ni machokoraa
Hapana boss asingeweza mi sikuwa nmelewa ye ALIKUA tungi ndo mana nilijiamini, pia palikua panaenda kukicha asubuhi sikia na shakaDuh kwahiyo boss ulilliwa?
Nikweli hata mi nikijifikiriaga Leo hii Huwa simpati jibu jamaa wange taka Kuni ua ILIKUA easy sanaMasikini hana msimamo, lolote linalomnufaisha atalibebw hata kama linahatarisha usalama wake
Dah mpaka Leo Huwa najishangaa mbona nilikua nauliwa kizembe sana kama ange takaKatika hili alivhemka sana. Umaskini wako uwe kama password yako.
Yaani jamaa anasimulia kama mazuri vileKatika hili alivhemka sana. Umaskini wako uwe kama password yako.
Mbona Nisha sema sana HUKO juu tena zaidi ya mara moja mkuu, soma vizuriNajaribu kuwaza,..kama hilo tukio ni miaka kadhaa imepita,je ametuhalibia watoto wetu wangapi hapo shuleni pake kwa kuwapandikiza hiyo tabia chafu akilin mwao!? Ni busara ukatoa maeneo ilipo
We🫵🫵🫵 jamaa jiheshimu basi tashindwa kuwavumilia HUKO tuendako acha ungese basiDah,
Nasikitika nimepoteza muda kusoma ujinga. Kwamba dume zima uliponea chupuchupu kupigwa pumb.u na Mkenya?
Sista ukisikia KWA MREFU hapo Arusha Hilo ni eneo ni kama ilivo buguruni nkItaje tu .
Mkuu sija kuelewa ulitaka nisimulie je kwa mfano?Yaani jamaa anasimulia kama mazuri vile
Kaka NILICHO simulia ndicho hicho sija danganya kitu Sina haja ya kuficha ilihali humu TUA tumia fake I'd mkuu mbona inshu ndogo TU nifiche nini sasa