BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
- Thread starter
-
- #61
Kaka mbona Kila kitu kimejadiliwa humu, mpaka hatua za kufuata ili Sheria ichukue mkondo wake NAMI nimetoa Hadi maelezo mshikaji anapoishi ni dogo TU hata Mimi mwenyewe naweza mkamata nikampeleka polisi, no mdogo sana alafu ni mgeni kipindi hicho hakuwa na mob ya watu sana mana MARAFIKI zake wengi niliowashuhudia kwa kipindi kifupi ni wazunguSema nin kaka umeeleza ulichopitia ili watu wajifunze. Sion sabb ya watu kukushambulia na kutoa maon yasiyo na maana. Lakin unapaswa kujua mtu huyo anaendelea kupoteza watu wengi kwasabb ya ww kushindwa kuwa msaada katika jamii. Unaelew ninachokisema
Jibu la kiume kabisa hili...Bro kwa kipindi hicho umri wangu ulikua hauja komaa, alafu pili huyo jamaa jinsi tulivo tumia muda mchache NAYE, ILIKUA ngumu sana kumdhania vibaya maana ye ndo ALIKUA wa kwanza kunionyesha project zake, NAMI nikamwambia malengo yangu hivo niliamini nimempata wa kufanana NAE katika hustling.
Wewe ushapitiwa kwa maelezo haya..!!Nilivo sikiliza inshu yao hao jamaa nikajisemea yes, nimeokota dodo chini ya mnazi, huyu mkenya ana hela lazima anitoe mtaji wa BIASHARA mana nilikua nmeajiriwa hotelini
Wewe maharage ya Mbeya huogopi kwenda kulala kwa mwanaume mwenzio na mmekutana kwa mara ya kwanza club?Tukacheza pale badae, yule mkenya akaniita rafiki, tunaweza ondoka mana yapata saa kumi na moja asubuhi, nikasema shega
Same here, mwanzo nilidhani ni demu, then I realize ni boy. Inasikitisha sana.wait unajua kwenye hii story nikajua wewe ni demu, mwanaume unakubalije kununuliwa kinywaji fine hiyo inawezekana lakin twende kwangu??? damn alafu unazipangiaje hela za mwanaume mwenzio kwamba atanipa mtaji meeeen whats fucking wrong with u are u gay??
Ukaanza kumfatilia unamuonea wivu? 😢Siku MOJA nimetoka job pale hotelini nipo mitaa ya picnic lounge kwa njee nimesimama na piga hesabu ya kwenda kulala night Kali sana, nikamuona yule dogo na kijana mwingine wanafata nyuma, kuelekea pale wanapo uza kuku nje ya xo night club, nika kaa kuwa chora ,nikagundua yule dogo kajaa kwa mkenya mana ALIKUA anachagua kuku alafu hela anatoa mkenya Nikajisemea TU huyu dogo tayari kesha ingia kwenye mfumo wa huyo mkenya, basi bhana nika sepa zangu.
Sista acha hizo Imani, tulianzia mbali sana alafu kipindi hicho sikia mwanaume nilikua kijana jua kutofautisha, ni yeye ndo alianza kunambia project zake za BIASHARA nilipo mwambia zangu akashangazwa na akili ya biashara nilio kuwa nayo na akashangaa kwa nini nakwama ili Hali mawazo yangu ni amazingWewe ushapitiwa kwa maelezo haya..!!
Hivi mtu umekutana naye mara ya kwanza unaomba mtaji uko sawa kweli?? Tena mwanaume mwenzio!!? Khaaaaa!! 😥
Hivi wapi huja elewa palikua pameshaanza kukucha asubuhi inaingia hofu inatoka wapi? Soma basi vizuri usikurupuke sista, shida umesha Jenga wazo negative kichwani, haipendezi soma elewa ongea usi ongee huja elewa NILICHO andikaWewe maharage ya Mbeya huogopi kwenda kulala kwa mwanaume mwenzio na mmekutana kwa mara ya kwanza club?
Manioko hata wanawake hatuko hivi 😹
Haya wanaume njooni mumtetee wa kiumeni mwenzenu, NACHOKA LAMOMY BINTI CLEMENCY MWANDAMBO DUH!! 😥
Asante kaka endelea kusikitika, Cha ajabu nini hapo kukaaa counter, kucheza pamoja kwani kucheza na washikaji mpaka akubambie,? Wakuu kununuliwa kinywaji ndo mnashangaa mbona ni kawaida hata Mimi mwenyewe mpaka Sasa nawanunulia vinywaji wadau kipi Cha ajabu? Anyway siwazui kuamini mnacho amini watu kama nyinyi si wageni kukutana nao karibuniSame here, mwanzo nilidhani ni demu, then I realize ni boy. Inasikitisha sana.
Soma ielewa wapi nime mfatilia? Mitaa nayo zungumzia unaijua? Ni barabarani unaona kinacho endelea eti namuonea wivu we sista mbona umekomaa sana we ni msaganaji? Mnalazimisha vitu visivo na maana nmekwambia nilikua kwenye mishe zangu Hilo eneo ni la wazi na ni haki Kila mtu kuona kinacho endelea ni barabarani unaeza simama hata mita sabini na ukaona kinacho endelea, nimuonee wivu kwa lipi? Ahadi ambazo huyo DOGO aliniahidi na zilikua zinaonekana kwa macho nisinge kua kijana kakamavu nilikua naingia kwenye mtego mfano NINGE OMBA TU kufundisha hapo nikawa napata chochote asinge kataa achilia kukata kufanya NAE ule ujjinga asinge kataa lakini nilipiga chini.Ukaanza kumfatilia unamuonea wivu? 😢
Kwanini umfatilie?
Wewe kama kweli sio mfuasi wa hiyo michezo ungemchukulia hatua maana tayari ulishaona ana shule ya watoto ambao wako hatarini kuingizwa kwenye mkumbo wa tabia za kishoga.
Na kingine anazidi kuharibu jamii kwa ushawishi wake wa fedha..!!
Ishi humo mkuu Sina Cha kukujibu dawa YENU nyie nikuwapuuzaSame here, mwanzo nilidhani ni demu, then I realize ni boy. Inasikitisha sana.
We mbona unaenda benki kukopa? Inshu ya kukutana NAE is kuumize kichwa sana dada yangu mpaka kufikishsna HUKO, tulianzia mbali sana tuliongea mengi na siwezi andika Kila tulicho ongea maxungumzo yangu na yeye nimeruka ili stori isiwe ndefu lakin mpaka kufikia kuamini jamaa atanipa mtaji inamana ye ALIKUA kesha nijuza mengi NAMI nilikua Nisha mjuza mengiWewe ushapitiwa kwa maelezo haya..!!
Hivi mtu umekutana naye mara ya kwanza unaomba mtaji uko sawa kweli?? Tena mwanaume mwenzio!!? Khaaaaa!! 😥
Nashukuru bro ishi humohumoDogo unapenda sana slope kmmae zako unaweka mknd wako rehani.
FreshWatoto wa kiume siku hizi wamelegea legea kama wasng vile na wanapenda sana slope kama hili.
Jinga kabisa