Tariq kumwagiwa acid usoni, nishakutana na huo msala. Ni Mungu tu

Tariq kumwagiwa acid usoni, nishakutana na huo msala. Ni Mungu tu


Heading na content haviendani
 
Tariq kumwagiwa acid usoni, nishakutana na huo msala. Ni Mungu tu



Heading na content haviendani
Baada ya kugoma kumpanda yule dogo na Niko kwake shuleni anapo ishi ange amua kunidhuru ingeshindikana nini? Sasa hapo haviwndani kiaje ulitaka NAMI nimwagiwe acid mkuu, ili content iendane au?
 
Kwa hyo uko tayar jamaa akatengenez watt magasho kisa unaogopa kuriport?yawezkana hata ww ni member wao...
 
Kwa hyo uko tayar jamaa akatengenez watt magasho kisa unaogopa kuriport?yawezkana hata ww ni member wao...
Mkuu Mimi sipo Arusha, nimesema shule IPO kwa mrefu nisaidieni kureport stori za nini, ilihali shule Nisha itaja mahala ilipo
 
Sawa I hope you learned something, next time usiwe mwepesi wa kuamini mtu haraka hivyo wewe ni mwanaume.

Madem ndiyo wenye hizo pigo.
Ni kweli kaka nmejifunza kitu, ila kuhusu watu kulazimisha Mimi nilijikomba sio sahihi mana lengo la Mimi kwenda kwake haikuwa kulala Bali kuona harakati zake, pili ILIKUA alfajiri asubuhi watu washa Anza kutembea barabarani watu wanaruka hili neno wanakimbilia eti nilikubali kwenda kulala kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…