TARURA Bagamoyo barabara ya Kaole imekuwa kero

TARURA Bagamoyo barabara ya Kaole imekuwa kero

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,870
Reaction score
15,068
IMG-20200503-WA0000.jpg
IMG-20200503-WA0001.jpg

Kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa barabara ya Kaole(Bagamoyo Secindary hadi Kaole) imekuwa ikiwekewa vifusi ambavyo havija sambazwa.

Hii ni kero kubwa.
Vifusi hivi viko kati kati ya arabara na wananchi wanapita kwa taabu sana.
Kaole ndiko kuna vivutio vya utalii wa wageni w kale toka Uajemi, na wengi wa wageni wanakatishwa tamaa na hali hii.
Nimeuliza wananchi nao wanasema diwani hana jipya la kuwaambia.

Sasa inabidi tumwambie Jafo Waziri mwenye dhamana na TAMISEMI aingili kati.
 
Mods msaada kurekebisha heading: ni TARURA BAGAMOYO pls!
 
Usijali kwa sasa kuna Corona so kutakua hakuna wageni kutoka nje wa kuja pande hizo,khs wageni wazawa kutembelea pande hizo hilo pia usiwaze tumeshazoea dhahama hizo za barabara.
 
Usijali kwa sasa kuna Corona so kutakua hakuna wageni kutoka nje wa kuja pande hizo,khs wageni wazawa kutembelea pande hizo hilo pia usiwaze tumeshazoea dhahama hizo za barabara.
Mkuu wananchi wataabika hapo hiyo barabara mpaka lini?
 
Nimepita hivi karibuni kwenda Snake Park mwisho kabisa karibu na Kaole Ruins.
Ni kero...kero...!
 
Back
Top Bottom