masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Mkuu wananchi wataabika hapo hiyo barabara mpaka lini?Usijali kwa sasa kuna Corona so kutakua hakuna wageni kutoka nje wa kuja pande hizo,khs wageni wazawa kutembelea pande hizo hilo pia usiwaze tumeshazoea dhahama hizo za barabara.
tYaani do far hakuna kilichofanyikaNimepita hivi karibuni kwenda Snake Park mwisho kabisa karibu na Kaole Ruins.
Ni kero...kero...!
Mkuu inawezekana timing ya kazi ilikaa ovyo mvua zikawahi na kifusi kikalowa hivyo kukosa sifa ya kusambazwa hadi kikauke.tYaani do far hakuna kilichofanyika