TARURA Barabara ya Nguvu Kazi -Yongwe ni mradi?

TARURA Barabara ya Nguvu Kazi -Yongwe ni mradi?

Joined
May 19, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Naomba kuwasilisha kero ya barabara hii ambayo kwa zabuni namba AE/092/2022/2023/DSM/W/04 iliyotangazwa Mei 2022 ilitangazwa kufanyiwa maboresho cha kushangaza baada ya maboresho hayo barabara haikudumu hata miezi mitatu ikaharibika tena.

Tangu mwaka jana barabara hii haipitiki na tunahisi harufu kali ya ubadhirifu kwani tumejaribu kufuatilia TARURA hakuna cha maana tunachoambiwa.

Kwa sasa sisi wakazi tunapata tabu na kulazimika kupita kwenye viwanja vya watu ambao bado hawajaendeleza hivyo kuwa kero. Tunaitaka TARURA ituambie nini kinaendelea kwenye barabara hii.

Soma: Ahadi hewa za viongozi kuhusu ujenzi wa barabara ya Nguvukazi - Yongwe
 
Tuliza mshono. Watu wana bills za kulipa
 
Back
Top Bottom