Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kwanini asimfukuze na kisha awajibishwe kama watuhumiwa wengine..!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utatu mtakatifuMbona hamtumbui Sasa? Au hizo pesa atarudisha na riba?😂😂😂😂
Wote wana ndevu kama kambale ndio maana hajatumbuliwaUtatu mtakatifu
Bashite,chalamila,muro,sabaya,mnyeti, gambo,hapi wanakinga ya utumbuzi sahau kuhusu hilo.Najiuliza tu angekuwa RC mwingine ndiye kachukua pesa angebaki ofisini? Jpm inawezekana kuna mengi anafanya mazuri ila kumkumbatia Makonda wakati anafanya makosa mengi ambayo wengine wanatolewa kazini ni udhaifu na double standard sana......kwasilimia fulani WaTz wengi wanamchukia Jpm kwasababu ya huyu RC wake.
Acha tuendelee tutafika tu
Wengine wana bambikwa kesi za kutakatisha pesa yeye ana ambiwa arudisheMbona hamtumbui Sasa? Au hizo pesa atarudisha na riba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Meza haiwezi itumbua miguuKachukua pesa? yeye hajaambiwa sikutegemea nikukute hapa..
Well said GTBashite,chalamila,muro,sabaya,mnyeti, gambo,hapi wanakinga ya utumbuzi sahau kuhusu hilo.
Wengine wanatumbuliwa live hao watabembelezwa warudishe rejea makontena
Kama huna chapa au ukila bila kunawa kama kange ogopa kukutwa na bwana pepsiWengine wana bambikwa kesi za kutakatisha pesa yeye ana ambiwa arudishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajua kucheza mdundo kwa step
Anakosea kila mtu apate haki yake kulingana na matendo yake.......Bashite,chalamila,muro,sabaya,mnyeti, gambo,hapi wanakinga ya utumbuzi sahau kuhusu hilo.
Wengine wanatumbuliwa live hao watabembelezwa warudishe rejea makontena
Waliomezani watafanana vipi na wasio mezaniAnakosea kila mtu apate haki yake kulingana na matendo yake.......
Aaah ngoja tuendelee kudanganyana na neno uzalendoWaliomezani watafanana vipi na wasio mezani