TASHICO: Maboresho ya Meli ya New MV Victoria yapo hatua za mwisho, tutatoa tamko hivi karibuni

TASHICO: Maboresho ya Meli ya New MV Victoria yapo hatua za mwisho, tutatoa tamko hivi karibuni

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema kuwa inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea katika safari zake za kawaida kwa Meli ya New Victoria 'HKT' ambayo imekuwa katika matengenezo tangu Machi 4, 2025 na yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni.

Mei 11, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alihoji juu ya ukimya wa uongozi kuhusu meli hiyo na kueleza kutokuwepo kazini kunaathiri Watu wengi wanaotegemea usafiri huo. Kusoma kilichoandikwa na Mdau huyo bofya hapa ~ Miezi miwili imepita bado meli ya Mv-Victoria haifanyi kazi, wananchi tuelezwe nini kinaendelea
IMG_9136.JPG

WhatsApp Image 2025-05-14 at 21.17.31_9c414625.jpg

WhatsApp Image 2025-05-14 at 21.17.42_d5755bc1.jpg

Pia soma:
~
TASHICO: MV. Victoria itaendelea kusimamisha huduma kwa muda wa mwezi mmoja kwajili ya kufanya 'service'
~ Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) yasema Meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho
~
 
Back
Top Bottom