Tasnia ya habari jaribuni kua serious kidogo

Tasnia ya habari jaribuni kua serious kidogo

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wana JF.
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema, wewe ambae unapitia changamoto moja au nyingine Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uweze kukabiliana nayo.

Back to the topic.
Leo katika kuperuzi mtandao wa Youtube nimekutana video iliyopostiwa na mwanahabari anajiita Lil Ommy yeye kichwa cha habari..

"Yammi Afunguka kuhusu Tumbo lake, KITOVU, Kiuno chake na idadi ya Shanga alivokua nazo".


Video>>>>>
View: https://www.youtube.com/watch?v=hx1vanYyE_I


Hivi kweli kama taifa lililojaa vijana wengi wenye changamoto mbalimbali hichi ndio kitu ambacho ndugu Ommy ameona kina tija tukijue? Naishiwa maneno ila hiki kizazi kina laana sio bure.
Wassalaam.
 
Wapo wahusika wanaopenda habari kama hizo, hivyo muandishi huweka maudhui kulingana na wafuasi wake nini wanapenda
FB_IMG_1726397155285.jpg
 
Back
Top Bottom