Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi mkuu, kwamba inafaa kupewa madaraka tena kwa miaka mitano ijayo?

Na mbaya zaidi, tunajua kabisa tunaongozwa na serikali ambayo haijali kuvunja katiba ya nchi, kwenda kinyume na utawala wa sheria au kuingilia mfumo wa haki kwa kupitia mahakama na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Katika dunia hii nimeshuhudia serikali za vyama vya siasa zikiondolewa madarakani kwa kuongeza bei ya mkate au unga wa ugali tu, lakini hapa kwetu, pamoja na taswira hii inayoonyeshwa na serikali ya CCM iliyopo madarakani, bado kuna watu wanaona ndio inafaa kuendelea kuongoza nchi.

Tatizo letu ni nini hasa, kutokuwa na mbadala wa chama cha kushika utawala wa serikali au ujinga na upofu wa kisiasa wa sisi Watanzania? Hivi sisi tuna akili sawasawa kweli?
 
Tuukatae ukoloni, tanganyika imekua koloni la zanzibari, tuamke rasilimali zetu zinauzwa
 
Mimi moyo wangu unauma kuna muda nataman hata nijitoe kwenye mitandao ya kijamii nisione watu wanavoonewa, nilivoona watumishi wa gwajima wana pandishwa kwenye gar ya polis ni uzuni tupu, jamani nini kifanyike ili tujitoe mahala tulipo
 
Hawa wanaoushangilia huu uongozi hawaoni?
 
Uporaji wa kura
No reform no election
Yaani kwa skendo zote hizi bado watu hawa wanadunda? Hivi na wanajeshi wetu hawaoni? Nigeria huko au Burkina Faso, kina Traole waliingilia kati kwa uozo uliokuwa nafuu sana ukilinganisha na tulionao hapa Tanzania
 
Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi mkuu, kwamba inafaa kupewa madaraka tena kwa miaka mitano ijayo?

Na mbaya zaidi, tunajua kabisa tunaongozwa na serikali ambayo haijali kuvunja katiba ya nchi, kwenda kinyume na utawala wa sheria au kuingilia mfumo wa haki kwa kupitia mahakama na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Katika dunia hii nimeshuhudia serikali za vyama vya siasa zikiondolewa madarakani kwa kuongeza bei ya mkate au unga wa ugali tu, lakini hapa kwetu, pamoja na taswira hii inayoonyeshwa na serikali ya CCM iliyopo madarakani, bado kuna watu wanaona ndio inafaa kuendelea kuongoza nchi.

Tatizo letu ni nini hasa, kutokuwa na mbadala wa chama cha kushika utawala wa serikali au ujinga na upofu wa kisiasa wa sisi Watanzania? Hivi sisi tuna akili sawasawa kweli?
Sisi Tanganyika ni wapumbavu
 
Vijana mnatakiwa kuwekeza kwenye namna ya kuondoa tatizo siyo kulalamika.

Mkajitolee kupigana vita Israel mkapate mafunzo na ufundi wa kupigana kwa uchache kuondoa wengi.

Pelekeni wengine Kongo mashariki wa spend time na M23 na wengine Russia na Ukraine.

Wakiiva, warudi na kila mmoja apewe watu 10 kuwafunza na kila wakihitiimu nao wakafanye volunteer service huko ili kuwajengea uwezo.

In the long run tutakuwa tumepata vijana wa kutosha kuweza kuendesha military wing ya chama kimoja na kuendesha operations za kijeshi ilu kuanza harakati za ukombozi wa kweli wa taifa.
 
Back
Top Bottom