Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
Mm nataman siku moja nikuone tuongee mengii,Simu na mitandao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nataman siku moja nikuone tuongee mengii,Simu na mitandao
Nina uhakika hata utoe milioni 10 hakuna atakayepatia.
Unless amekuona.
Zipo nyingi sanaHapana ipo njia rahisi zaidi ya kukupata wakiamua
Kwanini wasipatie? Wewe umeahaniona?
Wakiwa wajanja wakasoma mwandiko yangu mengi humu wanapatia maana huwa naelezeaga Kasie alivyo.
Haha kumbe wako shostiKhaaa marufuku kuota waume za watu
Haha kumbe wako shosti
Ee kakwambia yuko singo?Haha kumbe wako shosti
Hahha nahis umepatiaDon Clericuzio
Mwanaume(35-40)
Maji ya kunde msomi wa kati.anapenda challenges kwenye mijadala.Anatetea upande unaozidiwa.
Ukimuudhi anakucrash on the spot.
Hakai na kitu moyoni. Anakasirika haraka.
Anakunywa pombe kali kiasi.
Haha haya ntakuota leoInna naomba uniote na mimi...
NdioEe kakwambia yuko singo?
Khaa we Jose kam hiaNdio
Badae jion narud apa kukuelezea ila ipogolo kashaelezea kidogo apo juuNaomba yoyote aeleze taswira yangu kulingana na maandishi yangu, kadri utakavyokuwa unapatia ndivyo dau la zawadi yako litazidi kuongezeka....
NB: Kwa wanaonifahamu hawahusiki humu na ni marufuku kunong'onezwa na wanaonijua.
Heheheee ngoja nikishaota ndo ntajua tulikua tunafanyajeNgoja nisubirie.
Unaniota tunafanyaje?
Bae unaota tu wanaume wengine ujue nina moyo mwenzio[emoji20]Haha haya ntakuota leo
Heheheee ngoja nikishaota ndo ntajua tulikua tunafanyaje
Bae unaota tu wanaume wengine ujue nina mayo mwenzio[emoji20]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] nkwambie ukoje mana huaminig kama nakujua?Bae unaota tu wanaume wengine ujue nina mayo mwenzio[emoji20]
Sawa apa ntaota umeninunulia gari itabid tufanye haraka dream zikamilike[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mrejesho ni muhimu sana, na ukiniota vizuri inabidi tufanye harakati za Dream Come True kabisa.