Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Taswira za wana JF , imaginary ghost?

Don Clericuzio
Mwanaume(35-40)
Maji ya kunde msomi wa kati.anapenda challenges kwenye mijadala.Anatetea upande unaozidiwa.
Ukimuudhi anakucrash on the spot.
Hakai na kitu moyoni. Anakasirika haraka.
Anakunywa pombe kali kiasi.
 
Naomba yoyote aeleze taswira yangu kulingana na maandishi yangu, kadri utakavyokuwa unapatia ndivyo dau la zawadi yako litazidi kuongezeka....

NB: Kwa wanaonifahamu hawahusiki humu na ni marufuku kunong'onezwa na wanaonijua.
Badae jion narud apa kukuelezea ila ipogolo kashaelezea kidogo apo juu
 
Back
Top Bottom