Tathimini: Wamefanikiwa kutisha na kudhibiti Vyombo vya Habari kwa asilimia kubwa ila pia wameshindwa kudhibiti habari kwa asilimia kubwa zaidi

Mkuu twambie ndege inarudi lini kumrejesha Amiri Jeshi mkuu kutoka India au Nairobi?
 
Uzi wako hauna mtiririko mzuri wa mawazo, haieleweki unazungumzia nini.
Uzi unaeleweka lakini ukiwa lumumba kijana wa buku 7 lazima ujitoe ufahamu ili uweze kuSurvive.Vinginevyo mkono hauendi kinywani!
 
Nimelielewa bandiko vizuri sana ila kinachosikitisha ni ongezeko la Wadau wenye IQ hafifu kuwa kama magugu Maji na kutishia Ile flow ya great free thinkers wa jf sijui haya magugu yametokea wapi? au Chama twawala kimekuja na mbinu mpya kuoverwhelm great thinker with IQ hafifus
Kila jambo linawezekana kwenye siasa zetu za kiafrika za kusaka ugali zaidi kuliko kuwaletea maendeleo watu wake
 
Mitano tena
 
Nchi ambayo zaidi ya 90% ya vyombo vya habari vinamilikiwa na watu binafsi, Mashirika na Taasisi, ni upotoshaji kusema habari zinafichwa. Isitoshe Tanzania hakuna "lockdown" hivyo taarifa zinasambazwa haraka.

Ulikoegemea kulishindwa uchaguzi mkuu na kadri mnavyoshabikia udaku ndivyo jamii inavyowatambua na kuwatenga
 
Wadanganye wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…