[emoji23][emoji23] bahasha FC.Yeeessssssssssssss.................bahasha FC.
Umesahau lile goli la tatu la simba mpira ulikuwa umetoka na ulitokea palepale aliposimama kibendera.
Mpangumbe ...nimeli-note jina lako...utapata ujumbe saa tatu usiku March 8Nyie mbutembute fc mnashida sana kwa hiyo jana makosa wamefanya Azam tu Simba hawajafanya makosa na hayo makosa ya waamuzi umeyaona waliyofanyiwa Azam tu.
Inavyoonekana wewe ni shabiki lialia wa yebo yebo na matokeo ya jana yamekuumiza sana.mkuu huu ni mwanzo tar 8/3 utateseka zaidi.
Mzee Bakhresa na mtoto wake Yusuph ni mikia lialia ndio maana wakawatoa wachezaji wao muhimu ili kuinusuru mikia..tena wako tayari Azam ifungwe na mikia wapate rahaKwa ujumla mechi ilikuwa ya kiwango kizuri na cha kuridhisha kwa mtazamaji kwa vipindi vyote viwili.
1. Simba walitawala sn kipindi cha kwanza na km wangeacha kucheza show game na kucheza objective football wangeweza kupata magoli mengi zaidi.
2. Azam hawakuwa na mpango kazi sahihi wa kuwazuia viungo hatari wa Simba hasa Chama kwani alikua huru kufanya anachotaka. Km mnakumbuka mechi ya Simba vs Prison iliyoisha 0:0 mtaelewa ninachomaanisha.
3. Azam walitoa zawadi ya magoli yote ya Simba. Ukiangalia magoli waliyofunga Simba yalitokana na uzembe wa hali ya juu ambao usingetegemea ufanywe na wachezaji wa timu kubwa km Azam.
Goli la kwanza kona inapigwa wanakabia macho, halafu krosi inapigwa Yakubu akiwa amekabana na Nyoni haruki juu na kumwacha Nyoni apige kichwa. Lakini pia kipa naye hasaidii kufuta makosa ya beki wake anasita kudaivi akidhani mpira unatoka mwishowe goli linaingia.
Goli la pili ni uzembe usioelezeka wa Agrey Morisi. Goli la 3 la Kagere ni uzembe wa wazi wa kipa Lazaki Abalora. Mpira wa kudaka kabsa tena haukuwa na nguvu anafanya masihara mpira ukamponyoka na kuwa goli. Kwangu huwa sielewi ni kwanini Azam wanamng'ang'ania Lazaki ambaye ana utoto, masihara na uzembe mwingi sana unaigharimu timu mara kwa mara.
4. Refa aliwanyima penalti ya wazi Azam FC. Sjui warefa wetu wanatafsiri gani kuhusu penalti. Wao alifanya faulo 2 kwa mkupuo. Kwanza alimvuta Kipagwile na kisha akamkwatua. Pia tumeona mara kadhaa Morison akikwatuliwa kwa staili ile ile lakini Marefa hawatoi penalti.
Madhara ya makosa kama haya tutayaona pale timu zetu zitakapocheza na waarabu au timu za A. Magharibi.
Mwisho: Kilichowaponza Azam dhidi ya Simba ni uzembe wao wenyewe. Kwanza, uzembe wa kuwapa Simba wachezaji bora 4 ambao wote walianza mchezo wa jana, ambao wanaijua vizuri Azam ndani nje. Bila kumsahau pia babu Pascal Wawa ambae na walimuacha akiwa na ubora wake bila sababu za msingi.
Pili, ni uzembe na Lakia walioyafanya uwanjani yakawaghalimu moja kwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
ile penalty hata mchambuzi wa Azam mechi ya jana alisema kuna contact..tumeshawazoe wanawake bila ya kuwezeshwa hamuwezi..mpira wote umetoka na assistant referee anaukwepa ..Bruce Kangwa anapiga kelele Kapombe anaachiwa apige krosi..patheticHakukuwa na tukio lolote la kutoa penalt pale. Hata wachambuzi wengine walisema si penalt. Pia picha za marudio zilionyesha hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakitaka kuzijua mbinu za kinyonga basi waambie wachome msitu msondo ngoma haoNyie mbutembute fc mnashida sana kwa hiyo jana makosa wamefanya Azam tu Simba hawajafanya makosa na hayo makosa ya waamuzi umeyaona waliyofanyiwa Azam tu.
Inavyoonekana wewe ni shabiki lialia wa yebo yebo na matokeo ya jana yamekuumiza sana.mkuu huu ni mwanzo tar 8/3 utateseka zaidi.
Mwandiko wa Mwl. Kashasha kabisa huu. Safi sana kwa uchambuzi murua ama kwa hakika imependeza.
Pole umeongea kwa maumivu sanaKwa ujumla mechi ilikuwa ya kiwango kizuri na cha kuridhisha kwa mtazamaji kwa vipindi vyote viwili.