Tathimini ya mechi ya Azam vs Simba

Tathimini ya mechi ya Azam vs Simba

Uchambuzi uchwara huu. Umeandika Azam walishindwa kuwazuia viungo hatari wa simba hapo hapo tena unasema magoli yote waliofungwa Azam ni uzembe wao. Yaani viungo hatari wakizalisha magoli ni uzembe kwa timu pinzani?
Pamoja na makosa ya Moris lakini si kila timu(utopolo fc ikiwemo) ingeweza kubadilisha hilo kosa kuwa goli.
Goli kama la Nyoni yanafungwa hata pale epl ila wewe unaita uzembe na si kosa la kimchezo.
 
Nyie mbutembute fc mnashida sana kwa hiyo jana makosa wamefanya Azam tu Simba hawajafanya makosa na hayo makosa ya waamuzi umeyaona waliyofanyiwa Azam tu.
Inavyoonekana wewe ni shabiki lialia wa yebo yebo na matokeo ya jana yamekuumiza sana.mkuu huu ni mwanzo tar 8/3 utateseka zaidi.
Mpangumbe ...nimeli-note jina lako...utapata ujumbe saa tatu usiku March 8
 
Kwa ujumla mechi ilikuwa ya kiwango kizuri na cha kuridhisha kwa mtazamaji kwa vipindi vyote viwili.

1. Simba walitawala sn kipindi cha kwanza na km wangeacha kucheza show game na kucheza objective football wangeweza kupata magoli mengi zaidi.

2. Azam hawakuwa na mpango kazi sahihi wa kuwazuia viungo hatari wa Simba hasa Chama kwani alikua huru kufanya anachotaka. Km mnakumbuka mechi ya Simba vs Prison iliyoisha 0:0 mtaelewa ninachomaanisha.

3. Azam walitoa zawadi ya magoli yote ya Simba. Ukiangalia magoli waliyofunga Simba yalitokana na uzembe wa hali ya juu ambao usingetegemea ufanywe na wachezaji wa timu kubwa km Azam.

Goli la kwanza kona inapigwa wanakabia macho, halafu krosi inapigwa Yakubu akiwa amekabana na Nyoni haruki juu na kumwacha Nyoni apige kichwa. Lakini pia kipa naye hasaidii kufuta makosa ya beki wake anasita kudaivi akidhani mpira unatoka mwishowe goli linaingia.

Goli la pili ni uzembe usioelezeka wa Agrey Morisi. Goli la 3 la Kagere ni uzembe wa wazi wa kipa Lazaki Abalora. Mpira wa kudaka kabsa tena haukuwa na nguvu anafanya masihara mpira ukamponyoka na kuwa goli. Kwangu huwa sielewi ni kwanini Azam wanamng'ang'ania Lazaki ambaye ana utoto, masihara na uzembe mwingi sana unaigharimu timu mara kwa mara.

4. Refa aliwanyima penalti ya wazi Azam FC. Sjui warefa wetu wanatafsiri gani kuhusu penalti. Wao alifanya faulo 2 kwa mkupuo. Kwanza alimvuta Kipagwile na kisha akamkwatua. Pia tumeona mara kadhaa Morison akikwatuliwa kwa staili ile ile lakini Marefa hawatoi penalti.

Madhara ya makosa kama haya tutayaona pale timu zetu zitakapocheza na waarabu au timu za A. Magharibi.

Mwisho: Kilichowaponza Azam dhidi ya Simba ni uzembe wao wenyewe. Kwanza, uzembe wa kuwapa Simba wachezaji bora 4 ambao wote walianza mchezo wa jana, ambao wanaijua vizuri Azam ndani nje. Bila kumsahau pia babu Pascal Wawa ambae na walimuacha akiwa na ubora wake bila sababu za msingi.
Pili, ni uzembe na Lakia walioyafanya uwanjani yakawaghalimu moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Bakhresa na mtoto wake Yusuph ni mikia lialia ndio maana wakawatoa wachezaji wao muhimu ili kuinusuru mikia..tena wako tayari Azam ifungwe na mikia wapate raha
 
Hakukuwa na tukio lolote la kutoa penalt pale. Hata wachambuzi wengine walisema si penalt. Pia picha za marudio zilionyesha hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
ile penalty hata mchambuzi wa Azam mechi ya jana alisema kuna contact..tumeshawazoe wanawake bila ya kuwezeshwa hamuwezi..mpira wote umetoka na assistant referee anaukwepa ..Bruce Kangwa anapiga kelele Kapombe anaachiwa apige krosi..pathetic
 
Nyie mbutembute fc mnashida sana kwa hiyo jana makosa wamefanya Azam tu Simba hawajafanya makosa na hayo makosa ya waamuzi umeyaona waliyofanyiwa Azam tu.
Inavyoonekana wewe ni shabiki lialia wa yebo yebo na matokeo ya jana yamekuumiza sana.mkuu huu ni mwanzo tar 8/3 utateseka zaidi.
Wakitaka kuzijua mbinu za kinyonga basi waambie wachome msitu msondo ngoma hao
 
Kwa ujumla mechi ilikuwa ya kiwango kizuri na cha kuridhisha kwa mtazamaji kwa vipindi vyote viwili.

1. Simba walitawala sn kipindi cha kwanza na km wangeacha kucheza show game na kucheza objective football wangeweza kupata magoli mengi zaidi.

2. Azam hawakuwa na mpango kazi sahihi wa kuwazuia viungo hatari wa Simba hasa Chama kwani alikua huru kufanya anachotaka. Km mnakumbuka mechi ya Simba vs Prison iliyoisha 0:0 mtaelewa ninachomaanisha.

3. Azam walitoa zawadi ya magoli yote ya Simba. Ukiangalia magoli waliyofunga Simba yalitokana na uzembe wa hali ya juu ambao usingetegemea ufanywe na wachezaji wa timu kubwa km Azam.

Goli la kwanza kona inapigwa wanakabia macho, halafu krosi inapigwa Yakubu akiwa amekabana na Nyoni haruki juu na kumwacha Nyoni apige kichwa. Lakini pia kipa naye hasaidii kufuta makosa ya beki wake anasita kudaivi akidhani mpira unatoka mwishowe goli linaingia.

Goli la pili ni uzembe usioelezeka wa Agrey Morisi. Goli la 3 la Kagere ni uzembe wa wazi wa kipa Lazaki Abalora. Mpira wa kudaka kabsa tena haukuwa na nguvu anafanya masihara mpira ukamponyoka na kuwa goli. Kwangu huwa sielewi ni kwanini Azam wanamng'ang'ania Lazaki ambaye ana utoto, masihara na uzembe mwingi sana unaigharimu timu mara kwa mara.

4. Refa aliwanyima penalti ya wazi Azam FC. Sjui warefa wetu wanatafsiri gani kuhusu penalti. Wao alifanya faulo 2 kwa mkupuo. Kwanza alimvuta Kipagwile na kisha akamkwatua. Pia tumeona mara kadhaa Morison akikwatuliwa kwa staili ile ile lakini Marefa hawatoi penalti.

Madhara ya makosa kama haya tutayaona pale timu zetu zitakapocheza na waarabu au timu za A. Magharibi.

Mwisho: Kilichowaponza Azam dhidi ya Simba ni uzembe wao wenyewe. Kwanza, uzembe wa kuwapa Simba wachezaji bora 4 ambao wote walianza mchezo wa jana, ambao wanaijua vizuri Azam ndani nje. Bila kumsahau pia babu Pascal Wawa ambae na walimuacha akiwa na ubora wake bila sababu za msingi.
Pili, ni uzembe na Lakia walioyafanya uwanjani yakawaghalimu moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole umeongea kwa maumivu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa vijora fc hata hawaeleweki saizi wanadai kuwa Azam FC ni tawi la Simba.
Wamesahau kuwa Singida UTD sio tawi tu bali ni shina lao.vilevile kuna katimu kanaitwa Toto Afirika hili nalo ni tawi lao tena haka katimu kalikuwa kapo ridhaa ifungwe na timu zote ila sio Simba pia ilikuwa ipo radhi ishinde mechi zote ila si dhidi ya Vyura fc. Lakini wao inawauma sana sisi kuachiwa na Azam Fc.
 
Back
Top Bottom