Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

Wanacho Faidika voda ni kujitangaza na kuuza sana bidhaa zao! Kama vile ilivyo ligi kuu Vodacom
Halafu unasema shoo iliitwa VODACOM WASAFI BEACH FESTIVAL.....Je kule Samora Iringa walifanya beach??
 
Wewe ulifika???? Au unaangalia picha za Instagram na Facebook .
Ok hawakufika...hiyo idada, je wa msanii wako waliingia wangapi???? Kwa shingap????
Yaani nyie unajua mna mambo ya ajabu et msanii wako waliingia wangapi kwani kuna mashindano??
 
sukari ya warembo huyo!! isije ikawa danya unawaza kutoka na diamond siku moja, kumpita zari kazi unayo
 
Yaani Hawa hawaelewi wanakimbilia kuanzisha Uzi, sasa yeye katika akili yake anawaza hela hizo zote ni za diamond, shule inahitajika
Wewe unadhani Voda wanachukua hela Hapo? Kwa akili yako tuuu ndogo katika mkataba alio Ingia diamond nani wakulipwa? VODA wao ni kupata wateja wapya,kuwathamini wateja waliopo na kuuza bidhaa zao
 
Yaani nyie unajua mna mambo ya ajabu et msanii wako waliingia wangapi kwani kuna mashindano??
Kuna msanii aliifanya mziki kama sio ushindani wa kiibiasharaaa akajiona yupo pekee ake akajisahau alivyokuja mtu wa kushindana nae ndo nae akakurupuka na kujua kuwa mziki nibushindani!
 
Wewe unadhani Voda wanachukua hela Hapo? Kwa akili yako tuuu ndogo katika mkataba alio Ingia diamond nani wakulipwa? VODA wao ni kupata wateja wapya,kuwathamini wateja waliopo na kuuza bidhaa zao

[emoji122][emoji122] voda kwa siku moja tu wanaingiza mabilioni ya mapesa vocha tu.. Eti waanze kunyang'anyana milioni 100 na Chibu[emoji2]
 
Yaani Hawa hawaelewi wanakimbilia kuanzisha Uzi, sasa yeye katika akili yake anawaza hela hizo zote ni za diamond, shule inahitajika
Na wewe unaonekana wala hufahamu maana ya udhamini!! Kukupunguzia muda; subiri siku wacheze Yanga na Simba manake kwa kawaida huwa wanatangaza mapato na mgawanyo halafu stay tuned kama utasikia Vodacom wamepata asilimia fulani!!!!!
 
Aaah na nyie sasa tumewachoka na hizi timu timu zenu, kwani alikiba na Dimond ndo akina nani bana?
 
Back
Top Bottom