Halafu unasema shoo iliitwa VODACOM WASAFI BEACH FESTIVAL.....Je kule Samora Iringa walifanya beach??Wanacho Faidika voda ni kujitangaza na kuuza sana bidhaa zao! Kama vile ilivyo ligi kuu Vodacom
Kaunganisha tu kuokoa mda vtu zngne kujiongeza tuHalafu unasema shoo iliitwa VODACOM WASAFI BEACH FESTIVAL.....Je kule Samora Iringa walifanya beach??
Ndo alivyokwambia?Kaunganisha tu kuokoa mda vtu zngne kujiongeza tu
Yaani Hawa hawaelewi wanakimbilia kuanzisha Uzi, sasa yeye katika akili yake anawaza hela hizo zote ni za diamond, shule inahitajikaHivi kwenye hyo m 104 voda yao inakuwa ngapi? Au wanafaidika vipi na kuandaa show kwa ujumla?
Yaani nyie unajua mna mambo ya ajabu et msanii wako waliingia wangapi kwani kuna mashindano??Wewe ulifika???? Au unaangalia picha za Instagram na Facebook .
Ok hawakufika...hiyo idada, je wa msanii wako waliingia wangapi???? Kwa shingap????
Huu uzi si tathmini ya show za diamond!!!! Au ndio kamuwasho ka ndani kabisa???.
Huu udhaifu nimeusoma hata kwa mtoa mada, sjui anataka kutwambia diamond anafanya muziki ili amshinde nani???
Tumia akili tuu ya ziada mzizi wa show hizi mbili ni Vodacom wasafi beach part festival.....Halafu unasema shoo iliitwa VODACOM WASAFI BEACH FESTIVAL.....Je kule Samora Iringa walifanya beach??
Wewe unadhani Voda wanachukua hela Hapo? Kwa akili yako tuuu ndogo katika mkataba alio Ingia diamond nani wakulipwa? VODA wao ni kupata wateja wapya,kuwathamini wateja waliopo na kuuza bidhaa zaoYaani Hawa hawaelewi wanakimbilia kuanzisha Uzi, sasa yeye katika akili yake anawaza hela hizo zote ni za diamond, shule inahitajika
Mziki ni mashindano isingekuwa hivyo kusingekuwa na ushabiki? Hata wewe ni shabiki kwa sababu unashindanishaYaani nyie unajua mna mambo ya ajabu et msanii wako waliingia wangapi kwani kuna mashindano??
Kuna msanii aliifanya mziki kama sio ushindani wa kiibiasharaaa akajiona yupo pekee ake akajisahau alivyokuja mtu wa kushindana nae ndo nae akakurupuka na kujua kuwa mziki nibushindani!Yaani nyie unajua mna mambo ya ajabu et msanii wako waliingia wangapi kwani kuna mashindano??
Wewe unadhani Voda wanachukua hela Hapo? Kwa akili yako tuuu ndogo katika mkataba alio Ingia diamond nani wakulipwa? VODA wao ni kupata wateja wapya,kuwathamini wateja waliopo na kuuza bidhaa zao
Na wewe unaonekana wala hufahamu maana ya udhamini!! Kukupunguzia muda; subiri siku wacheze Yanga na Simba manake kwa kawaida huwa wanatangaza mapato na mgawanyo halafu stay tuned kama utasikia Vodacom wamepata asilimia fulani!!!!!Yaani Hawa hawaelewi wanakimbilia kuanzisha Uzi, sasa yeye katika akili yake anawaza hela hizo zote ni za diamond, shule inahitajika
Data zako wewe ziko wapi u must walk the talk...Hayo ni maelezo tunahitaji ushahidi, no data no right to speak.