Tathimini yangu Kati ya Simba Day na Yanga Day

Umeongea fact Sana mkuu
 
Vp mkuu tukiachana na hayo unadhani kufungwa kwa yanga......kunaweza kusababisha Simba kushinda tareh 13???
 
Ku
Kufanya vzur ndo kufungwa sekunde ya 27 mkuu?hamna team kule....bora kuangalia rede utaona hata chupi kulikon kushabikia utopolo
Mkuu.....unadhani saint George ilikuwa ni kipimo sahihi kwa mnyama?
 
Mkuu umeandika kiutopolo kabisa tofauti na tunavyokufahamu hususan unapoanzisha uzi wa siasa. Nimeamini maneno ya manara kuhusu wana yanga.
Tatizo Wana Simba hawataki kuambiwa ukweli [emoji23][emoji23]
 
Haya sasa waambie wenzio wenye Kinyesi kuwa Ethiopia yenye soka bovu ilitinga robo fainali ya AFCON 2021 na 60% ya wachezaji inatoka St George
Mkuu....una maanisha saint George ndiyo waliotinga robo fainali ya AFCON 2021
 
Mbona Congo Drc vita haijawahi kuisha lakini wana mpira na vilabu bora kuliko Tanzania [emoji1241] na wachezaji wa vilabu vyetu tunasajili kutoka huko. Jenga hoja ama futa uzi.
 
Lipumba alikuwa mgeni wa heshima, umesahau hilo.
Au labda nakosea?
 
Ule uwanja unabeba watu zaidi ya 60,000 na jana umeonesha kujaa kabisa, ajabu kwenye hesabu za Simba kuna pungufu ya watu 15000

Rudieni piga hiyo photoshop
Kumbuka kulikuwa na vingilio tofauti tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…