Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ndo mwanamume tu siku zote.. Makolo ni midembwedi tu
Simba ina washabiki watu wa kelele tu na kusumbuana Yanga ina mashabiki wengi wenye vipato na wanaojitambua
Angalia wanavyonunua kadi, jezi na hawaji uwanjani kwa mihemko wanakuja kwa mapenzi ya timu
Yanga sio watu wa lawama ndio maana hata timu ilivyofanya vby miaka minne bado walisimama na timu yao.
Simba kazengua mwaka mmoja tu tayari kelele zishaanza na mwaka huu asipochukua ubingwa sijui hali itakiwaje .
Eti mzungu tumepigwa wakati hana hata wiki.
Tujifunze kuvumilia tuache mihemko tujifunze kuwa na heshima kwa wenzetu wakifanya vzr.
Huu ni utawala wa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli wenyewe.
Mkuu unadhani Simba wangeweka kiingilio Kama cha YANGA....wangepata mapato makubwa,???Mapato ndo nini???we zungumzia burudani na matokea!!!...kwanza mmewekwa bai mbili mkiwa kwenye siku yenu.
Uwanja haujajaa sasa mna nini cha kulinganisha na mabingwa wa soka wa ukanda huu wa cecafa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] semi final ni lazimaaa.Acha tuone mtakavo choma Moto viwanja vya watu[emoji23][emoji23]
UsijariiiiSawa mkuu......ntakukumbusha muda ukifika