Tathimini yangu Kati ya Simba Day na Yanga Day

Mapato ndo nini???we zungumzia burudani na matokea!!!...kwanza mmewekwa bai mbili mkiwa kwenye siku yenu.

Uwanja haujajaa sasa mna nini cha kulinganisha na mabingwa wa soka wa ukanda huu wa cecafa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa unajua kujifariji wewe ..sasa watoto wadogo wale wamewalala kwenu unasema utawala wenu???mngewafunga wale kwanza ndo uandike hivyo
 
Mapato ndo nini???we zungumzia burudani na matokea!!!...kwanza mmewekwa bai mbili mkiwa kwenye siku yenu.

Uwanja haujajaa sasa mna nini cha kulinganisha na mabingwa wa soka wa ukanda huu wa cecafa
Mkuu unadhani Simba wangeweka kiingilio Kama cha YANGA....wangepata mapato makubwa,???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…