Kwasasa Simba imeshajipata.
1. Ina safu ya ushambuliaji kali kuliko timu yoyote ligi kuu. Very aggressive
2. Ina vijana wengi wenye pumzi ya kutosha. Tofauti na Yanga
3. Wana uwezo wa kutanzua mitego kwa timu pinzani inayojilinda zaidi. Tofauti na Yanga
4. Mabeki wa Simba ni wepesi wa kusaidia Mashambulizi. Tofauti na Yanga
5. Forward line ya Simba ina speed . Tofauti na Yanga.
6. Simba wanapokwenda kushambulia inaonekana kabisa ni timu yenye mipango. Tofauti na Yanga papatupapatu.
7. Ahoua (1) , Mpanzu(1),Chasambi(1), Ateba(2) na kibu Denis (2). Jumla goli 7.
Ila Yanga ikiamua kujilinda basi goli zitapungua hadi 3.
Kuna kiongozi wa ndani kabisa Simba kadokeza kuwa kacha na wachezaji wameshatoa hakikisho la asilimia 100% kushinda hiyo tarehe 8 NA HIVI SASA WAPO NA PROJECT YA KUTAFUTA UHAKIKA WA GOLI 5 HADI 7.
Kuna mgogoro mkubwa sana unakuja baada ya tarehe 8 na huenda hata kuondoka kwa Ramovich ni baada ya kuona hesabu za tarehe nane zinaonyesha mafuriko